Search results

  1. Mchaga

    Nyakirang'anyi Mauza: Ni tapeli kama inavyodhaniwa?

    Dah eti nae kafunga mikono kwa mbele kwamba anaheshimu Mamlaka...sanaa tupu:mad:
  2. Mchaga

    CNN: 'Don't use birth control,' Tanzania's President tells women in the country

    FAKE NEWS YA MABEPARI ALICHOSEMA RAIS KAMA UNA UWEZO WA KIFEDHA ZAA TU NA CHA MSINGI ZAIDI AMESEMA WATU WAFANYE KAZI...HIYO YA KUFANYA KAZI MBONA HAWAKUIANDIKA?
  3. Mchaga

    Arumeru: Jerry Muro awaambia wananchi kama hawataki kufuata sheria na kanuni za nchi basi wahame nchi

    Mbona hukuandika sababu za yeye kusema hayo? taarifa yako imejaa chuki ni ya upande mmoja.
  4. Mchaga

    Fursa ya biashara na kipato kupitia biashara ya Mtandao 'Network Marketing'

    Karibuni wote ambao mngependa kujifunza kuhusu biashara ya mtandao 'Network Marketing' inayoweza kukupa pato katika muda wako wa ziada au 'full time' hadi kufikia au zaidi ya Shilingi Millioni 4 kwa mwezi. Tunatoa mafunzo na mbinu za kuendesha biashara hii mpaka hapo utakapo jenga timu yako...
  5. Mchaga

    First class cabins za ukweli kabisa

    Nimeikosa ya ATC mwenye nayo airushe hapa...
  6. Mchaga

    Aibu: Shyrose Bhanji azua tafrani ziara ya EALA

    Ukitaka kuzijua akili zetu watanzania pitia pitia mitandao ya kijamii.
  7. Mchaga

    Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

    Hizi Ndio lugha wanazoambiwa watu wanaotimiza wajibu wao!
  8. Mchaga

    Dk. Hassan Kitine dhidi ya Upson Mwang'onda kuelekea 2015

    Mkuu Bongolander nakutakia kazi njema siku ya leo.
  9. Mchaga

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    Hongera sana JK hakika wewe ni Rais wakupigiwa mfano, unasikiliza na kujali, kwa namna Rais alivyo na nguvu katika nchi yetu sio rahisi kwa Rais kukubali kukaa na wapinzani anaweza kuamua kukaa kimya na kufanya maamuzi yeye kama mkuu wa nchi lakini wewe mheshimiwa Rais wangu unampa kila mtu...
  10. Mchaga

    Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

    Naomba unifahamishe chombo kimojawapo kabla sijachangia
  11. Mchaga

    Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

    Dinazarde kama anatabia mbovu kabla hajaolewa na haeshimu ndoa hata ucheze dakika 120 na mikwaju juu utasaidiwa tu
  12. Mchaga

    Bandari ya Dar es Salaam kutumika zaidi

    jifunze kuwa na ngozi ngumu
Back
Top Bottom