Search results

  1. SIR.NOM

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Afafanue vzur apa.Maana kama muda wako wote wa kaz umewekeza kwenye hyo biashara,afu mwsho wa cku unambie kuwa familia ictegemee kwenye hyo biashara.Hyo biashara ndyo umeifungua kwa ajili ya nini sasa?
  2. SIR.NOM

    Kushamiri kwa online App za mikopo

    Ulipita hv bila kuwalipa mzee? Afu ikawaje?
  3. SIR.NOM

    Ushauri: Mikopo ya Mtandaoni

    [emoji2]Wee jamaa,unanuzoefu nao au unatania tu?
  4. SIR.NOM

    Ushauri: Mikopo ya Mtandaoni

    Hivi karibuni kumekuwa wimbi la ongezeko la kampuni zinazokopesha hela mtandaoni.Na wengi wamekuwa wakikopa pasipo kujua uhalali wa hizi kampuni,na wengine kuzilalamikia kuwatoka riba kubwa sana. Nimekuja kwenu wadau,kupata ushauri.Kuna ndugu yangu wa karibu alikopa huko.Sasa umefika wakati wa...
  5. SIR.NOM

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji na sabuni za miche, shampuu batiki, mishumaa na jinsi ya kuzingatia vipimo wakati wa kutengeneza sabuni

    Sh.ngap kitabu,maana link nimeona haifunguki Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  6. SIR.NOM

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji na sabuni za miche, shampuu batiki, mishumaa na jinsi ya kuzingatia vipimo wakati wa kutengeneza sabuni

    Kaka mwita habar.Asante sana kwa shule nzuri hii. #Samahan naweza kuyapata haya material kwenye "pdf file" au kitabu chake.Naomba untumie kwa watsap 0768 228 904.WhatsApp #Natanguliza shukrani Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  7. SIR.NOM

    MACHIMBO YA SPEA ZA BAJAJI KARIAKOO

    Wajumbe samahan.Naomba kwa yeyote mwenye mawasiliano ya wakala wa Tairi za MRF 400.8 za Bajaji anitumie tafadhali. #Natanguliza shukrani 0622 228 904/0768 228 904
  8. SIR.NOM

    Ninashida na Agent wa tairi za MRF za bajaji

    Salaam jaman. #Ninashida na Agent wa tairi za MRF za bajaji.Aliyepo dar,kwa anaejua tafadhali msaada kupata mawasiliano yake. 0768 228 904/0622 228 904.WhatsApp/Call
  9. SIR.NOM

    Mbinu ya kijasusi inayoweza kuokoa maisha yako

    I like it Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  10. SIR.NOM

    Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Jaman naomba msaada kujuzwa,namna ya kupata Online Copy ya Kitambulisho cha NIDA. Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  11. SIR.NOM

    Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Jaman naomba msaada kujuzwa,namna ya kupata Online Copy ya Kitambulisho cha NIDA. Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  12. SIR.NOM

    Mkopo mtandaoni

    Wana App PlayStore?
  13. SIR.NOM

    Mkopo mtandaoni

    Hii tz haipo ilishafungwa.Wanaojitangaza saiz wote ni matp
  14. SIR.NOM

    Michongo ya Fursa

    Asante mkuu
  15. SIR.NOM

    Michongo ya Fursa

    Mfano kamaa...??
  16. SIR.NOM

    Michongo ya Fursa

    Wadau kama kichwa kinavo jieleza apo juu.Ivi ni mchongo gan mtu unaweza wekeza kwa kutumia knowledge tu.Na ukawa unakutengenezea pesa bila ata kuhitaji kias kingi cha pesa kama mtaji.Au pacwepo na hela yoyoteya kuwekeza kama mtaji. #Mazingira niliyopo ni ya mjini.
  17. SIR.NOM

    Wako wapi Branch na Tala?

    Kampuni gani wadau za uhakika wanao kopesha hela Online,ukitoa Branch?
  18. SIR.NOM

    Naomba uzoefu wa biashara ya uuzaji wa mayai ya kuchemsha

    Wadau wenye uzoefu mpo wap mje mtupe shule apa
  19. SIR.NOM

    Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Natamani kuijua zaid hii bznes.Kama nitaielewa vzur na kukiwa na faida nzuri ili niifanye kabsa.Kama hutojalinicheki 0622 228 904.WhatsApp/Call
  20. SIR.NOM

    Nahitaji Mume

    Unapatatikana wap
Back
Top Bottom