kama nyumba ni za bandia zipo chini ya kiwango ina maana hapo ukinunua nyumba milion 20 ni sawa umenunua kiwanja tu. maana nyumba itadondoka muda wowote. huu ni wizi na utapeli tu
Habari zenuwana JF. naomba ushauri wa hili jambo
Nilifungua biashara stationary ndogo tu mwaka 2013. Halafu mwaka 2014 kutokana na biashara kutokuwa nzuri nikaifunga. kwa kutokujua kuwa biashara ikifungwa inabidi kuwataarifu TRA, mimi Sikuwajulisha TRA kuwa stationary nimeifunga. kodi ya mapato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.