Hivi ingekuwa kwenu kunateketea na jeshi limeombwa msaada ungeona heri wasiwepo?
Mi naona ni sawa tu hapa sio swala la kumlaumu mkuu kutumia jeshi amani ni muhimu
Mh dini nyingine zinaendekeza uadui badala ya utu wema na upole asante mungu kwa kutoniweka mahala pasipokuwa na upendo.Dumisheni upendo muache roho za kwanini,ili maisha yenu yazidi kuwa marefu katika dunia hii.
Jamani poleni sana watanzania kwa janga hili ambalo lingeweza kuzuilika,jamani madereva wetu tuzidi kuwa makini.
Bwana ametoa nae ametwaa jina lake lihimidiwe.
Jamani mbona haya kwetu tu ukienda hapo Burundi,bei ndogo wakati bandari wanayotumia ni yetu,au wao wanasoko lingine la kimataifa la mafuta?
Manake tunachoshwa na haya maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.