Search results

  1. S

    MAnispaa ya temeke inatafunwa

    Wewe mwenyewe unataka mgao, ungepewa usingesema sio? wewe mwenyewe ni mtuhumiwa unatakiwa uchunguzwe! duuuu! Usilete kashifa kwa watu ambao innocent na sababu zako za kisiasa, baba hakuna mseleleko siku hizi, hata hao unaowahisi ni siasa zako tu zinakuzingua!
  2. S

    Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Ambae anawajua hawa watu atujuze, ili tujue kama wapo makini katika nyanja mhimu kama vile scale zao za mishahara kwa ngazi ya diploma na security!
  3. S

    Ajira za TPDC

    Ni kweli kabisa, mi kila nikienda naambiwa wataweka kwenye mtandao, kila siku nachek kwenye mtandao wao ila nakuta majanga! sasa sijua kama kuna mtandao mwingine wanautumia au la!
  4. S

    Nani ameshawahi kuomba mkopo hlssf?

    Hata mimi wadau nishapeleka form za maombi nasubiri sandakalawe yao!
Back
Top Bottom