Search results

  1. M

    Kikao cha viongozi wa Upinzani kutikisa nchi

    Naunga mkono jambo hili.Umoja ni nguvu.
  2. M

    Fastjet ni kero tupu!

    Hawa ni wasanii kinyama.Ukitaka kuwajua,airisha safari yako utaona,na hasa ukiwa umelipa kwa MPESA.Utasikia mtandao unasumbua,hapa utakaa hata miezi miwili bila kurudishiwa haki yako.
  3. M

    Freeman Mbowe aiyumbisha dola

    Uandishi wa habari kwa design hii,unadhalilisha taaluma ya habari.Mwandishi toka mwanzo hadi mwisho,anaonekana kumsakama mtu bila kuwa na ushahidi wa kutosha.Ni vyema kutumia taaluma zetu kwa ujenzi endelevu wa Taifa badala ya kuwa sehemu ya kupika majungu.
  4. M

    Fast Jet na usumbufu wa kurudishia wateja nauli zao baada ya kuahirisha safari

    Imekuwa kawaida ya Fastjet kuzungusha wateja wake hasa inapotokea mtu ameairisha safari.Kwa mfano mimi mwenyewe nilikuwa nisafiri mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili,nikalipa kwa MPESA,lakini ikatokea nika aihirisha safari.Tokea kipindi hicho,nimekuwa nikiambiwa nisubiri hela itarudishwa bila...
  5. M

    Meya Jiji la Arusha ni Kalist Lazaro, Naibu Viola Likindikoki

    Asante.Ni vizuri wakaonyesha mfano wa utendaji wa kazi,ili kuonyesha tofauti kati ya CCM na CDM.
  6. M

    Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

    Hapa ni akili mgando,Watanzania wanamuangalia Magufulu kama individual,na sio kama mwana CCM.Kwasababu haya matatizo ya kuhujumu uchumi,yamefanywa kwa muda mrefu bila CCM kukemia.Hata hoja zinapokuja bungeni,ni CCM ilikuwa inahakikisha inazifutia mbali.Pia tambua,Mh Magufuli anatekeleza sera za...
  7. M

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Nakuunga mkono mleta mada.Huwezi kudeal na uozo serikalini bila kudeal na mfumo.Utakuwa unazunguka mbuyu.
  8. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA alala Mkutanoni

    Ndugu yangu Petro,CCM sio watu wa kubishana nao,wao hufuata upepo.Kitu wanachosema leo sio sawa,kesho wanasema ni sawa.
  9. M

    Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

    Hizo ndo ndoto zako.Kwa taarifa yako,watu wanampenda Magufuli na sio CCM.Na ndo maana hata wakati anaomba kura,alikuwa akiomba kama yeye na sio CCM.Na maadui wake wakubwa wako CCM.Mimi mwenyewe japo sikumpigia kura,ila kutokana sera zake na hotuba yake,kwa kweli namfagilia.Na kama ataweza...
  10. M

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Ndugu yangu wakati mwingine,tumia akili kidogo.Huyu dada ni mwanasheria wa Serikali,na haruhusiwi kuwa na mrengo wa kisiasa,mpaka aache hiyo nafasi.Tunachouliza,kama alikuwa mwanasiasa,wakati bado ni mtumishi wa umma,je,aliweza kutenda haki kwa watu wa vyama vingine?.Je,na kama...
  11. M

    Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

    Leo nimemsikia Zito akimtetea Ndungayi.Kweli lisemwalo lipo,kama halipo,linakuja.
  12. M

    Magufuli ni Rais halali, msiwadhulumu wananchi haki yao ya kuwakilishwa

    Mbona unaandika huku ukipumua kwa shida.Jipange kabla hujaandika,hii ni porojo tuu umeandika.Nenda kavute mshiko wako Lumumba!.
  13. M

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Roho imeniuma sana,kama tunafanya siasa kuwa uadui kiasi hiki,kwa kweli ni hatari sana.Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi,Amen.
  14. M

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Kwa kweli roho imeniuma sana.Hakika iko siku udhalimu huu utaisha.Roho ya marehemu ipumzike kwa amani,Amen.
  15. M

    Kasi ya Magufuli kiutendaji itasababisha kudhoofika kisha kufutika kwa UKAWA

    Mfumo mmbovu wa CCM ndo utakaompa shida Mh.Magufuli kutekeleza majukumu yake.Akitaka kufanikiwa aanze kwanza na mfumo.
  16. M

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Mimi nilikuwa naunga mkono UKAWA.Kutokana na spidi anayoenda nayo Mh. Magufuli naendelea kupata imani naye kwamba,ndiye aina ya Raisi tuliyemtegemea,anaongoza kwa vitendo. Ila ninachoona,anataweza kufanikiwa kwa kuwatumia viongozi wale wale wabovu,ambao hawapendi kuwajibika mpaka wasikie kuna...
  17. M

    Viongozi wa CHADEMA Rukwa Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

    Ni vizuri CDM ikafanyia kazi haya malalami.
  18. M

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Yule mama namwaminia,ninjembe.Mungu na amlinde.
  19. M

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Hivi Shibuda aliweza kupata Ubunge wakuu?
  20. M

    Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    Mwigulu anatakiwa kupewa wizara ya michezo na utamaduni.
Back
Top Bottom