Search results

  1. N

    Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

    Mpole nae anaboa, mkali anaharibu mapenzi jamani kuweni cool tu. nayanda.
  2. N

    Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

    Kivipi basi wachague ukali au upole lakini mapenzi hayana kanuni malum kama hesabu ambayo 1+1 sawsaw2 haya kama vipi mulizeni bi chau nite nayanda
  3. N

    Mteja wa hizi hela za kale

    Makubwa babu yangu anazo kibao mpaka kufuli la 999 na nyie mnasema utapeli nilijua akiuza angeninunulia bugat loh me kuhemwa tu nayanda.
  4. N

    Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

    Usiku mwema jamani poleni wanaume msiwe moto msiwe baridi kuweni vuguvugu iheeee Nayanda.
  5. N

    Hivi inakuaje?

    Huenda huna pesa halafu jeuri watakumwaga tu jikague iheeeeeee,
  6. N

    FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    Hee wamamtoa kafara loh nchi hii uvundo mtupu
  7. N

    FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    Mkamateni na huyo muuji mzoefu kwanza si alikuwepo
  8. N

    FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    Hata aibu hawana wangalie ugali maharage wali mchicha akili za kushikiwa kazi kubambikia tu mngejua mmavyochukiwa na vibanda vyenu rohobaya wafuga bata waone vile
  9. N

    FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    Tulijua tu wanatafuta sababu mwenye macho haambiwi tazama fumbo mfumbe mjinga mwerevu hugundua wamenichefua mie watu fitina uongo uzushi na uchu wa madaraka hakuna aishie milele yatajulikana
  10. N

    Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    Mhmm nitajibu kesho bt mchagu shamba si mkulima wanaume
  11. N

    Bongo movies urojo kwa bongo flavours

    Nini sasa umenisoma iheee lzm wadondoke na wawapendao joket out hana mizungu hakuna urojo wanaamua kupeana bana
  12. N

    Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    Swala hapa ni kujua mapemzi na kanuni zake na mizungu kama hujui hata upate mwembamba mnene aliyefungashia kama wewe mwanaume hujui kusoma tabia na mabsdiliko ya kihisia za wanawake utaishia hvyohvyo mara mwembamba nfo bomba mara mnene kumbe tatizo ni wewe mwanaume bora ni yule ajuaye kucheza na...
  13. N

    Bongo movies urojo kwa bongo flavours

    Mhmm kudonfoka ma bf ndo dhambi basi mavuno yatakuja tanzania yote me naona poa wadondoke nao tu wapeane mahaba ksma wanajua mizungu tina mizungu ya kifrica siye msondo ndindi zimo wasipotezeana mda bure ufundi wahitajika kwenye mahaba na usafi je wako njema ili wafaidi iheee apo sasa
  14. N

    Bongo movies urojo kwa bongo flavours

    Si urojo wanapata wanachokihitaji jamani wanavua ustar kule wansingia ulimwengu mwingine eti urojo mambo ya nafsi hayo jamani yanahitaji mjuzi burudani iheeee upo
  15. N

    Bongo movies urojo kwa bongo flavours

    Ni mapenzi jamani bongo flever wanavutia kwanza wengi wako singo wanajiamini na malovee wanayajua swaga zao lazima madada du wa bongo movie wadondoke nao sana si swala la mkwanja jamani ni malovie dovi tu wamajua so kazi kwao na watazidi kudondoka nao ndani ya six by six upo hapo brovie
Back
Top Bottom