Search results

  1. T 2015 CDM

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 30 Septemba 2014- Upigaji Kura, Katiba Inayopendekezwa

    Wakuu yule waziri wa habari wa Sadam alikuwa anaitwa El Sahaf. Alikuwa anachonga huyo hahah....
  2. T 2015 CDM

    Natafuta mchumba wa kuoa

    Nimerudi toka shule nilikokuwa nafanya PhD yangu. Nimeamua kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu. Napenda awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 35. Kabila lolote. Rangi yoyote. Dini mkristo na Elimu at least bachelor degree. Niko serious wandugu. Those interested can PM me...
  3. T 2015 CDM

    Describe your ex only with movie titles..

    "High Way to the Grave"
  4. T 2015 CDM

    Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

    Hongera LE MUTUZ kwa kuthubutu,, but Jaribu kuangalia ni kwa nini umekuwa wa 12 na hukuingia kwenye 10 bora ili next time ukigombea uingie umejipanga vizuri. Sababu ya uzoefu sana kwa watu waliokushinda haina mshiko sana kwa siasa za sasa especially ndani ya CCM. Kuna other reasons ambazo...
  5. T 2015 CDM

    Guess Which Lovebirds These Are

    Bill Clinton and his wife Hillary Clinton. Those days!!!!!!!!!!!!
  6. T 2015 CDM

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Pole nenda duka la vipodozi nunua mafuta yanaitwa Sulphur 8. Ni mazuri sana ni mafuta mazito ya nywele pala kila siku asubui after three days utaniambia
  7. T 2015 CDM

    Huyu "Peter Rupia" ni nani hasa? Angalia kama dada yako yuko hapa,Nasikia yeye ni anasa 24/7

    Huyo dada mwenye wigi na kipensi alikuwa supervisor pale checken heart mlimani city anaitwa salma kumbe ...................................................... duh noumer
  8. T 2015 CDM

    Wakiitwa makahaba kutoka bongo movie kuna makosa?

    Jamani hivi hawa dada zetu wanakwenda wapi? Huyu alliimbwa mwanza fiesta kuwa ni kahaba akawaka kweli kweli na kilio juu, sasa kama una behave kama picha invyoonyesha kuna kosa ukiitwa kahaba? Hii ilikuwa Morogoro Fiesta Kazi ipo!!! Cheap Popularity ni gharama kweli kweli!
  9. T 2015 CDM

    Mama aliungua na moto akijaribu kuokoa maisha yangu

    Love you Dad and my Mom! MUNGU WABARIKI SANA!:love:
  10. T 2015 CDM

    Kipindi kigumu jimboni Kawe

    Mkubwa nashukuru sana kwa matusi yako lakini tulikuwa tuna ARGUE mimi na wewe sasa kuanza kutukana na kukashifu watu wote wa CHADEMA si vizuri. Mzee wetu Dr. SLAA anaingiaje tena hapa na kuanza kumkashifu? Tushindane kwa hoja hata kama mimi ni chizi na sina akili but twende kwa hoja,, ulitakiwa...
  11. T 2015 CDM

    Kipindi kigumu jimboni Kawe

    Subiri 2015 ndo utauona ukweli. Hao wa CCM ambao hawaandamani wamefanya nini? Kumbuka kuwa majimbo mengi yenye wabunge wa upinzani si CHADEMA serikali ya magamba inayagandamiza ili wabunge waonekane hawafanyi kazi. CHADEMA si wabishi wala si kuwa hatusikilizi ushauri ila vinapokuja vitu visivo...
  12. T 2015 CDM

    Kipindi kigumu jimboni Kawe

    Nafikiri wewe ndo MPUUZI TENA JINGA LISILOJUA KUFIKIRIA. Mi niko JImbo la Kawe nilichofanya ni kumkumbusha tu mleta mada kuwa si kila kitu ni lazima mbunge afanye na nimesema tumpe muda bado ana zaidi ya miaka miwili. Mbona JK hatumsumbui na ahadi zake 77? Je kuna meli mpya zimekuja? Kigoma...
  13. T 2015 CDM

    Kipindi kigumu jimboni Kawe

    Gombea basi wewe tukupe. We unataka mbunge ashugulikie kila kitu? hao wabunge wengine wamefanya nini? Magamba mna shida sana,, hizo pesa za jimbo waulize magamba wenzio maana wao ndo wanajua ziko wapi,,, wala usimlaumu Mdee. Na aliyekutuma mwambie huku JF tuko vizuri magorofani hatujadili hoja...
  14. T 2015 CDM

    Tabia za mwanamke huyu zinaniweka mtegoni

    Well explained. Naunga mkono ushauri. Big up Nyaningabu
  15. T 2015 CDM

    Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

    Linatisha uh!
  16. T 2015 CDM

    Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

    Mikwara tu hakuna lolote. Hasira zikiisha " Ooooh Dear nimekumic niliover react my sweetie, nisamehe ila na wewe bwana achana na huyo mwanamke" ahahahahahahahaha Ndugu yangu usitukane mamba na hujavuka mto maisha unayoyataka utayaweza? Matoy si mazuri kama msuri original lile nyama lenyewe lile...
  17. T 2015 CDM

    Jamani Mshahara wa Assistant Lecture ni sh ngapi?

    Uko correct kabisa mkuu,, jamaa yangu ni mdau pale UDSM hii 1.6 to 2.3 ni kwa assistant lecturer, lecturer wanakula kuanzia 2,352,000 to the max of 2.7 million kwenye rank hiyo
  18. T 2015 CDM

    Style ya vyama vya siasa kufungua matawi yao uk na usa

    Ndugu zangu nimekuwa nikishangazwa kidogo na siasa zinavoendelea nchini mwetu hasa kati ya vyama viwili vikubwa. Kitu hiki kidogo kimekuwa kikinitatiza. Ivi ni kwa nini vyama hivi vinafungua matawi US na UK tu tena kwa ushindani na kuonyeshana na hawafungui matawi yao kwenye nchi kama Rwanda...
Back
Top Bottom