Miezi miwili yote hiyo ya nini - kufanya majaribio? Huo mbona muda mrefu sana.
Mtandao wao umekuwa hovyo kwa kiwango cha kutisha. Ikichukua miezi miwili kwa speed hii ya kukatika-katika, hakuna mteja atabaki kwao.
Kupiga dili kuko pale-pale! Mtu keshajitengenezea ulaji. Eti "picha ziko za kutosha", hakuna kitu hapo - wizi mtupu!
Waweze kuandaa picha inayofaa kwa kampeni halafu hapa washindwe; NYOOOO!
MCC ni ile ile!
BRAND acha udini, haki hutapewa kwenye sahani ya silver.
Viongozi wa dini wanaingiaje hapa?
Kuna serikali, Bunge, Mahakama, then UMMA. Duni Haji kasema, serikali yakwao, bunge lakwao, mahakama yakwao.....
Changanya na akili zako; acha udini!
Tests of time my foot.
And this current issue is not a test of time?
Jitu lolote linalotoa kauli hadharani kabla ya matokeo yenye kufanania hii (See below) ni wa kudharauliwa.
"napenda kuwajulisha kuwa hatuwezi tena kushinda ubunge wa jimbo hili"
Kama hali ndio ilikuwa hivi, Mtatiro analalama kitu gani?
The same here. Kulalama hata matokeo yenyewe bado ni jambo la hovyo sana.
Aliponikera zaidi ni kwenye sentensi yake asemayo "kufikiria mustakabali wa taasisi na watu wetu kuliko MASLAHI BINAFSI".
Kama yeye hakuwa na maslahi binafsi...
Now there is this small argument between President Kenyatta and opposition Cord leader Raila Odinga about, of all things, Ugandan sugar.
Kenyatta says it makes business sense to import Ugandan sugar, because Uganda is reciprocating and will import diary and beef products from Kenya, as per the...
Ni jambo jema kuongeza kodi kwenye import ya bidhaa ili bidhaa hiyo izalishwe hapa nchini - ili mradi tu matayarisho ya kisera na utekelezwaji wake yakifanyika vizuri.
Ila kinachoonekana kufanywa hapa pengine ilikuwa imelenga kuwaadhibu baadhi ya local manufactures wasioambatana na "System"...
Raisi (EL) atafanya nini pakiwa na idadi kubwa ya wabunge wa UKAWA?
Assumptions ni kitu kibaya sana. Msi-assume kwamba UKAWA hawajayafikiri haya mnayowatahadharisha nayo.
Una hakika na ulichoandika hapo au hii ni taarifa umeisoma/kuisikia toka kwa mtu mwingine?
Huko yanakofanyika haya mmeshindwa kuwaarifu viongozi wa vyama vya upinzani walifuatilie?
Hatutapiga kura kielektroniki; angalia tu uchache wa BVR machines utang'amua hilo.
Hata kama wakibadilisha na...
Piga namba *152*00# na ufuate maelekezo. Au Bonyeza HAPA Kuhakiki
Mimi napata ujumbe ufuatao kila mara:
Huenda taarifa za mkoa nilipo bado hazijaingizwa kwenye daftari kuu.
Ni mikoa gani usajili haujakamilika?
Imetumika gharama kubwa ya walipa kodi kuileta hii system ya BVR - ili kuona...
Huenda kuna virus.
Simu yako inatoa pop-up messages zinazosumbua?
Kuna hiki kirusi korofi angalia kwenye google: com.nb.superuser
Kugundua ni kirusi gani, nili-install anti-virus na ku-scan simu. Kama sikosei nilitumia Anti-virus Dr. Web Light.
Kukiondoa hiki kirusi sio rahisi.
Mara ya kwanza...
Hotuba za Nyerere nimeziona ITV.
Kikwete anayo nafasi sasa ya kuzungumza kuhusu chaguzi za mwaka huu kwenye kipindi chake. Ila sasa, kama kawaida yake atafanya analoweza zaidi; kutalii na kubembea!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/865480-rais-kikwete-azuiliwa-kuingia-denmark.html
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.