Search results

  1. Sungurawembe

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Sidhani kama kibali kimetolewa hivyo polisi watazuia ngoja tusubiri tuone.
  2. Sungurawembe

    Nape anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Uchunguzi dhidi ya Presidential Appointee

    Ndiyo ila hana mamlaka ya kumwajibishan mpaka aombe mteule wake
  3. Sungurawembe

    Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Huyo ni mumeo nakushauri uache kutangaza madhaifu yake hata wewe unayo kama ya kutoridhika na penzi lake.Hivyo angalia utakuwa wa kuonjwa na kuachwa tu
  4. Sungurawembe

    Uchaguzi wa marudio Zanzibar February 29, 2016

    Kwa maana hiyo kutakuwa na ratiba tofauti za uchaguzi maana Rais wa Zanzibar muda wake utaanza pale tu atakapoapishwa.Kwa jinsi hiyo kuna na uchaguzi wa JMT na kisha wa Tanzania visiwani
  5. Sungurawembe

    CHADEMA Mbeya walalamika kuhusu uteuzi wa Wabunge wa viti maalum

    Acha ubinafsi ulitaka wrote watoke mbeya?
  6. Sungurawembe

    Rais Magufuli, tembelea Wizara ya Maji ujionee madudu

    Ndio kuna watu wasoma na kumwambia hujui kurugenzi ya habari ikulu?
  7. Sungurawembe

    Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

    Naona hakuna jipya wewe Fanya maamuzi kama ulivyo kubali pesa zake na kumubudirisha
  8. Sungurawembe

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Mkuu ukirudiwa na vyuo vimefunguliwa sijui mtiti wa hapo, maana hata ambao hawakupiga watajitokeza
  9. Sungurawembe

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Maswali ya kujiuliza hivi itaundwa Tume nyingine maaana kama hata wajumbe wanakamatana mashati hataelewana kamwe.
  10. Sungurawembe

    Imewezekanaje takwimu za majimbo ya Uzini na Chwaka Zanzibar zifanane?

    Lakini si yalipokelewa? na kukubaliwa kuwa ndio yametumwa!
  11. Sungurawembe

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapo umenena maana kwenye hatua ya usafirishaji kuna lolote hata kwa kupoteza karatasi za aliyeshinda pamoja na kukubali wajumulishe toka katika fomu ambazo anazo mashaka.Aone mfano kwa Mdee na Mnyika
  12. Sungurawembe

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Nashukuru maana nilidhani ni simu lakini hata ktk laptop sikupata mawasiliano hongereni sana
  13. Sungurawembe

    Madanguro yamekithiri isipokuwa sehemu hizi.......

    Mkuu muelewe mtoa mada amesema miji yote mikubwa,sasa Arusha ni mji mdogo alisema mh kuwa lakuambiwa changanya na la kwako.
  14. Sungurawembe

    Yanayojiri mkutano wa Magufuli; Kibamba, Kibaha Vijijini, Chalinze, Kibaha Mjini na Kawe- 22/10/2015

    Mkuu ratiba yako haina muda wa kusafiri?mfano kutoka kibaha hadi chalinze hata ni kwa chopa lazima atumie si chini ya dakika 20!
  15. Sungurawembe

    Mwenye kufahamu alipo Dr. Ndodi

    Yuko Moshi wasiliana nae kwa sms/whatsapp kupitia 0767895789
  16. Sungurawembe

    UKAWA watapatapa...

    Ilitungwa lini na kwanini ilikuwa haitumiki? huoni kuna kitu nyuma ya pazia kabla
Back
Top Bottom