Search results

  1. L

    CHADEMA Imekaaje?

    Dawa ya CCM inachemka nayo ni 2015.
  2. L

    CHADEMA ina washabiki wengi, Haina wapiga kura wengi

    Kimbunga cha kuanguka kwa CCM 2015 kinawasubiri pamoja na propaganda zenu.
  3. L

    CHADEMA hakitapokea wanachama wapya wa vyama vingine

    Chadema achana kabisa na wanaCCM.Chukua the youngs,energetic,the (Mnyika,Silinde,Zitto,Lema,Sugu,Halima Mdee etc)likes.Nchi tunataka ichukuliwe na vijana wakiongozwa Dr Slaa-2015 siyo mbali.Vijana wa CCM wamelewa utajiri wa kifisadi wa wazazi wao.Achana nao kabisa.
  4. L

    CHADEMA hakitapokea wanachama wapya wa vyama vingine

    Elewa kiswahili;kuanzia sasa haitawapokea waCCM
  5. L

    Is this criminalisation of islam in Tanzania or humiliation of Christianity?we are brothers

    Waislam,mmejaa unafiki sana kwa sababu mnachokihubiri tofauti na mnachokitenda.Mnatumia dhana ya kuvumiliana,suala hilo kwenye imani halipo.Tuwavumilie waislamu kuua wachungaji wetu,tuwavulie waislamu kuchoma makanisa yetu,tuwavumilie waislamu kutulisha ibada zenu za kuchinja wanyama.Mungu wenu...
  6. L

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Zaidi ya 94% ya watoto wetu waliomaliza kidatu cha nne mwaka 2012,wameshindwa au hawajapata alama ambazo zitawezesha kuendelea na masomo ya juu.Hawa ni watoto wa walalahoi ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao kwenye shule za kulipia ada kubwa.Huu ni mkakati uliotengenezwa na wanasisa wetu...
  7. L

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    Hatujawahi kusikia misikiti imechomwa moto,au shehe/kiongozi wa kiislam ameuliwa,viongozi wa nchi ambao 90% ni waislam wamekaa kimya.Kwa nini Wakristo wasiamini kuwa waratibu wakubwa wa mpango huu wa kuchoma moto makanisa,kuwaua wachunga na mapadri ni viongozi tokea Rais na wasaidizi wake ila...
  8. L

    Profesa Lipumba kugombea tena urais 2015

    NANI KING'ANG'ANIZI Proffessor LIPUMBA au Maalim SEIF SHARIF HAMAD?
  9. L

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    ​Mtoto wa mkulima waziri mkuu MIZENGO PINDA ameishiwa cha kuwambia Watanzania.Anataka tuishi kwa mazoea hata kama mazoea hayo hayana tija kwa wakati huu.Tumekupata vizuri mheshimiwa.
  10. L

    Elimu ya Mnyika

  11. L

    Matokeo rasmi ya Uchaguzi mdogo wa mitaa Magu: CHADEMA yaigalagaza CCM

    MIZENGWE YA CCM itendelea kuifanya CDM kuimaarika zaidi sehemu zote za nchi hii.
  12. L

    CCM taabani dhidi ya nguvu ya umma

    HII SI NGUVU YA CHADEMA KAMA WENGINE WENYE MAWAZO FINYU wanavyofikiri.HII NI NGUVU YA UMMA WA WATANZANIA AMBAO UMEICHOKA CCM na UFISADI WAKE.
  13. L

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    UNAFIKI wa nini Dr KASHILILAH !!!!!!!!!!!!!!!!!! SISI SIO WATANZANIA WA ZAMA za CHAMA KIMOJA KUSHIKA HATAMU
  14. L

    CHADEMA ikishinda vita ya propaganda itachukua nchi 2015

    CCM imeishiwa cha kuwambia Watanzania ndio maana wameng'ang'ana na hoja za ukabila,udini badala ya kutoa sababu za kwa nini wanaitangaza Tanzania kama nchi maskini wakati nchi ni tajiri sana.Ina ardhi nzuri kwa kilimo cha mazao yote,ina bahari,maziwa makubwa na magogo na mito yenye samaki wa...
  15. L

    Jumuiya ya Afrika Mashariki kuvunjika, uroho wa madaraka wa Museveni na Kagame vyaiponza

    Kwa nini Nyerere aliruhusu Watusi waingie nchini kiholela namna hiyo?Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo tokea ipate uhuru imeingiza mamilioni ya wageni na hasa hao Watusi. Ni kweli tunamuenzi Nyerere lakini kwa hili yeye amehusika kuuratibu mpango huu wa Watusi kuitawala Afrka...
  16. L

    Serikali inawatapeli wazee

    hii ni serikali ya kufa kufaana
  17. L

    Rais anayewajali wote sio wasanii tu!!

    Tofauti yao ni kuwa Ndugu yetu Saeed Kubenea hupigania haki za wazalendo wanaodhulumiwa haki zao wakati mheshimiwa Kikwete analinda masilahi ya mafisadi wanaoihujumu na kuihujumu nchi na yeye mwenyewe akijumuika kujilimbikizia mali kwa njia mbalimbali.Hivyo kwenda hospitali kumjulia hali Kubenea...
  18. L

    Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

    ONLY CRACY MINDED PEOPLE WILL KEEP ON DISCUSSING DR'Slaas CCM card ownership.Let us focus on solving WANANCHI PROBLEMS.
  19. L

    Onyo kwa CHADEMA na angalizo kwa Dr. Slaa - We are watching you!

    Huyu Dr Slaa ndiye Watanzania tunayemhitaji 2015 awe Rais wetu
Back
Top Bottom