Search results

  1. n00b

    Museveni: Ugandan Youths are supporting Muhoozi due to the weaknesses of the NRM

    President Museveni has linked the apparent appeal of his son, Gen Muhoozi Kainerugaba, to younger Ugandans to their “frustration” with weaknesses within the ruling National Resistance Movement (NRM) party. In his first detailed public comments about the activities of Gen Muhoozi, the President...
  2. n00b

    Uhispania Yawakamata Wadukuzi 40 katika Msako dhidi ya Genge lao

    Mamlaka za Uhispania wiki hii zilitangaza kukamatwa kwa watu 40 kwa kujihusisha kwao katika genge la uhalifu lililofanya ulaghai wa benki, kughushi nyaraka, wizi wa utambulisho na utakatishaji fedha. Wawili kati ya watu hao, mamlaka inasema, walikuwa na jukumu la kutekeleza ulaghai wa benki...
  3. n00b

    Huyu “Arafa Kikwete” ni nani haswa?

    Naam, ni mke wa Ridhiwani Kikwete; amemwakilisha Mama Mkwe wake.
  4. n00b

    Dodoma: NEMC yazifungia Rainbow na Chako ni Chako kwa kupiga kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia bar za wazi za Rainbow na Chako ni Chako Pub za Jiini Dodoma baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usimamizi wa mazingira namba 20 va mwaka 2004 na kanuni ya viwango vya udhibiti wa kelele na mtetemo ya mwaka...
  5. n00b

    Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
  6. n00b

    LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  7. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Hawapendi Rais aguswe. Sasa aliomba mamlaka haya akitarajia tukae kimya tunapoona makosa?
  8. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wasiovaa masks ni wapumbavu na upumbavu ni kipaji (kama alivyosema Nyerere). Nilifurahishwa kumwona Kitila Mkumbo akiwa amezingatia kuvaa mask. Maisha haya ni yako, si ya Serikali wala Dini/kanisa lako!
  9. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Yaani, Magufuli kama Rais katwambia siku ina saa 48 na kuwa mtu anatumia barakoa 12 kwa siku 1. Yaani, unapoamua kudanganya basi usiwafanye wananchi wako wote vilaza kiviiile. Nilijikuta nacheka mwenyewe yaani
  10. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Sasa, hapa hata wewe unawachongea TISS, JWTZ na Polisi kuwa wote wameshindwa kulinda mipaka yetu. Kuwa, tuliowapa dhamana wameshindwa kutulinda? Halafu, umetunza hadi leo masks zenye virus? Ulipozitumia ulipata maambukizi? Yaani, sidhani mnatakiwa kuweka “mazingira magumu” hapana - nashauri...
  11. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Kwa hiyo tunaomkosoa tuna chuki binafsi. Tema mate chini mkuu wangu! Aaaah weweeee! So, nani alileta hizo kontena za za vifaa tiba zenye kuwa na nia ovu? Mlitutangazia kama Taifa tumjue hasa adui yetu? Makontena tulionyeshwa? Kama mlikaa kimya bila kuonyesha umma huu ushahidi muhimu - that...
  12. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Unajua why the church inaingilia? Principled leaders guide a nation into responsible action. And it is responsible action that honours principle, enabling others to understand and appreciate it. However, recent events in our State reveal failure on the part of our leaders-social, religious and...
  13. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Nimeshangaa, he admitted hadi ndugu zake wamepigwa, watendaji wake wa karibu wamepigwa. Halafu yeye kama Rais anapokiri haya anataka tuchukulie “POA” tu?
  14. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Hahaha, sawa MSOMI Suluhisho: Endapo tuna watu kama wewe na ndo mmewekwa karibu na Rais kuwa washauri, mfumo ujitafakari!
  15. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Great work, mnafanya kazi nzuri so far. Lakini, wewe kama mwana JF ambaye upo for almost 11yrs kama active member (na unakumbuka why we exist): Unakubaliana nami kuwa kauli ya Rais leo ina makosa? Natambua, kwa nafasi uliyo nayo inaweza kuwa ngumu kukiri, ndani ya nafsi unanielewa vema tu...
  16. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    I see, washauri wa Magufuli bana. Soma upya! Naamini utanielewa.
  17. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Let’s assume unasema ukweli na sisi tunaoohoji ndo hatujielewi: 1) Mwaka jana (2020) ni NANI alikuwa Rais wa Tanzania? Ilikuwaje Taifa likafanyiwa hujuma hii bila kushtukiwa? Usalama wetu kama Taifa ulikuwa compromised? Nani hasa walizileta? Walichukuliwa hatua gani na umma ulijulishwa? 2)...
  18. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Exactly my point. Ikulu ni taasisi, ni zaidi ya mtu mmoja. Taasisi ijitafakari katika anachofanya aliyekalia kiti. Anaacha legacy gani? Akija mwingine anaweza kufanya zaidi ya hivyo. Hii Ikulu inaendeshwa kwa kodi zetu watanzania. Tuna haki ya kukataa baadhi ya mambo. Ndo uzalendo!
  19. n00b

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Mkuu TUJITEGEMEE, Ninyi ndo wana JF tunaowategemea huko kwenye mfumo kwa sasa. Naomba tuelewe: 1) Issue ya Barakoa: Mwambieni Rais anachemka big time, sisi wananchi si wajinga kiasi hicho. 2) Kuhubiri kanisani na kwenda na wapiga picha: Viongozi wa Dini wanaweza wasiwe wanamwambia, anakosea...
Back
Top Bottom