Search results

  1. SANGI B

    Uliomba mkopo? Soma hapa..

    Kijana atukuja na jpya gan cjui,maana anatafuta namna ya kuingia na mpya nyingine.jaman lakin hawa HESLB wanaleta hasira.
  2. SANGI B

    Jinsi ya kuhama chuo ulichochaguliwa kama hukipendi

    Sasa hapo iko hvi,kwanza kama unataka kubadili chuo unaomba nafasi ambayo unahitaj kwenye chuo husika,wakisha kukubalia ndo unakuja kwenye chuo ambacho upo kutoa taarifa kuwa unahama chuo. lakin pia kuna suala la MKOPO sasa kama umepangia chuo inamaana na mkopo wako utaelekezwa kwenye chuo...
  3. SANGI B

    Post wizara ya kilimo 2012/2013

    Haya sasa wale waliomba nafasi katika vyuo vya kilimo ingia kwenye website ya wizara ya kilimo hapa www.kilimo.go.tz:flypig:
  4. SANGI B

    Tcu kutuma majina ya 1st selection yalio salia vyuoni wiki hii!!

    Tume ya vyuo vikuu Tanzania maarufu TCU,imethibisha kuwepo kwa majina ya 1st selection ambayo hayajafika vyuoni mpaka sasa. Kwa wale wenzangu ambao wanatatizo kama hili,tumeambiwa tusubir tusiwe na wasiwasi maana hakuna kilicho haribika,majina yatatumwa vyuoni wiki hii.mm nilikwenda mojakwamoja...
  5. SANGI B

    Computer engineering...!!!

    dunia 2liyopo sasa hapo ndo mahala pake,komaa2 na hyo miaka yako 4.kaz badae:baby::baby:
Back
Top Bottom