Search results

  1. H

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Mugabe tatizo Dar Mkutano wa Wakuu wa SADC na Tamali Vullu JINA la Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, ndilo lililotawala mkutano maalumu wa wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, ambao ulikuwa ukijadili masuala ya ulinzi na...
  2. H

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Mugabe aambiwe ukweli MKUTANO wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), umeanza jana chini ya Uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete. Miongoni mwa mambo yanayotarajiwa kuchukua nafasi kubwa kujadiliwa katika mkutano huo, ni migogoro ya kisiasa...
  3. H

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    Maimamu Dar wamjia juu Rais Kikwete, Mtikila na Prisca Nsemwa KAMATI ya Maimamu wa Kiislamu, wamewajia juu Rais Jakaya Kikwete na Mchungaji Christopher Mtikila katika masuala mawili nyeti. Kubwa lililosababisha maimamu hao kumjia kuu Rais Kikwete ni kushindwa kwa serikali yake kuanzisha...
  4. H

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    MWANAKIJIJI JE MWAPACHU AMEKUCONVINCE AU NI YALEYALE juu
  5. H

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    Message sent kwa wapelelezi Siku zote wakazi wa Dar huyaogopa makarandiga ya Polisi yakiwa yamebeba wafungwa kutokana na mitusi ya nguvu wanayoporomosha, ila jana walikuwa wanawashangilia na kuwapungia mikono. Mabadiliko hayo ya mioyo ni hatua ya kuwaunga mkono kwa uamuzi wao wa kugoma...
  6. H

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    Mgomo wa mahabusi wasambaa Dar Na Waandishi Wetu MGOMO wa mahabusu wa kupinga kucheleweshewa kesi zao ulioanza katika Mahakama ya Kisutu juzi, umeendelea jana na kusambaa katika mahakama nyingine jijini Dar es Salaam na mjini Arusha. Jijini Dar es Salaam, mahabusu hao waligoma kwa mara...
  7. H

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    Mgomo wa mahabusi wasambaa Dar Na Waandishi Wetu MGOMO wa mahabusu wa kupinga kucheleweshewa kesi zao ulioanza katika Mahakama ya Kisutu juzi, umeendelea jana na kusambaa katika mahakama nyingine jijini Dar es Salaam na mjini Arusha. Jijini Dar es Salaam, mahabusu hao waligoma kwa mara...
  8. H

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    CHANZO: Gazeti la Majira
  9. H

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Chitalilo atamba kutesa miaka 20 na Jovin Mihambi, Sengerema SIKU kadhaa baada ya Jeshi la Polisi kubainisha kuwa Mbunge wa Buchosa, Samwel Chitalilo, aliwadanganya wapiga kura kuhusu elimu yake, mbunge huyo ameibuka na kutamba kuwa kashfa hiyo haitamharibia. Akizungumza...
  10. H

    Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    hongera mwanakijiji mungu akutie nguvu uendelee mbele.
  11. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    • ...Wapinzani kuandamana Dar Habari Zinazoshabihiana • Mwanry akamia kumfuatilia Mbowe 10.01.2007 [Soma] • Mbatia alia wabunge kulipwa mamilioni 17.10.2005 [Soma] • Mbowe: Makamba hawezi kuua Upinzani 04.01.2007 [Soma] *Kuzungumzia rada na...
  12. H

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    • Sakata la rada languruma katika Bunge la Uingereza *Tony Blair abanwa, akwepa swali, apiga siasa *Aikana habari iliyoandikwa na The Guardian Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Fife North East katika Bunge la Makabwela la Uingereza, Bw. Menzies Campbell (Liberal...
  13. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    hata mimi nasikia habari za mwinyi ni kweli na ndio mana akaacha jimbo lake la mkuranga kuhamia zbar ni hatua za kujitayarisha kumrithi karume.
  14. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    jamani el amekuwa mtu ambaye kweli siku zake zikifika ana majibu mengi ya kujibu watanzania.kwanza ni mla rushwa anapenda sana posho jamaa na hela yake huwa hailali nje ameshikilia vilivyo,pili hajui maadili ya kazi na urafiki ni vitu viwili tofauti.hivi mambo ya bungeni utamuhadithiaje mtu wa...
  15. H

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Mtanzania aliyeyatafuna mabilioni ya rada atajwa na Mwandishi Wetu MTANZANIA aliyepokea mamilioni ya dola za Marekani kama kamisheni ya ununuzi wa rada, ametajwa. Taarifa iliyoandikwa na gazeti moja la jijini London, Uingereza jana, zinaeleza kuwa, Kampuni kubwa ya usambazaji...
  16. H

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Imetolewa mara ya mwisho: 16.01.2007 0105 EAT • Sakata la ununuzi wa rada Vigogo wadaiwa kuhongwa bl.12/- Habari Zinazoshabihiana *Zadaiwa kuingizwa kwenye akaunti zao Uswisi *Tanzania, Uingereza zakutana kujadili rushwa Na Mwandishi Wetu SAKATA la kuwapo...
  17. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Moto aliouwasha Ndesamburo wasambaa na Mwandishi Wetu MOTO aliouwasha aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Maadili, Madaraka na Haki za Bunge, Philemon Ndesamburo, umedakwa na wanasiasa, na sasa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amejitumbukiza kwenye sakata hilo...
  18. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    du noma kweli,pm kutajwa kwenye issue kama hizi.
  19. H

    Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

    ::Habari za Tanzania Alhamis Jan 11, 2007 *PhD yake yafumbiwa macho watakiwa uzoefu wake *Kauli yake kuhusu Irani nayo yaibua maswali mengi *Msemaji wa Ki-moon abanwa na ashindwa kuyajibu Na Hassan Abbas SIKU moja baada ya gazeti hili kuripoti juu ya ajenda ya siri ya...
  20. H

    Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

    waseme wachoke migiro huyooooooooooooooooooooooooooooooooo.....
Back
Top Bottom