Search results

  1. P

    Tanzia: SAMWEL SHILA MBOYA

    RIP SAMWEL S. MBOYA. Poleni wanachuo na ndugu wote
  2. P

    Body physique na Nguvu zimewasaidia sana B Munich

    Mleta uzi kawagusa pabaya wapenzi wa barca. Na hili liwe fundisho kwa timu zote zinazocheza klabu bingwa ya ulaya. Pia kuna sababu kama 1.Barca walikua hawana plan B tangu mechi ya kwanza. Angalia jana walivyokua wanaangaika kumtumia alves kupiga majaro wakati siyo mtindo wao kabisa...
  3. P

    Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    Man Mungu akupiganie katika kipindi hiki kigumu. Mama apumzike kwa amani. Tuko pamoja safari njema pia huko mkoani mpendwa.
  4. P

    hii ni kwa washabiki wezangu wa barca tu

    Barca ili ifuzu kwa fainali nadhani little Mesi anatakiwa angalau apige bao 3 peke yake la sivyo wasahau. Ila kwa miaka takribani 14 hivi kama sijakosea timu zinazoingia fainali ya klabu bingwa ya ulaya na kuluzi au kushinda fainali zinakawaida ya kuingia fainali tena msimu unaofuata au hata...
  5. P

    hii ni kwa washabiki wezangu wa barca tu

    Jamaa kasema miaka ya hivi karibuni kwa hesabu za haraka haraka jamaa anamaanisha tangu 1999 hadi 2013. Nadhani yuko sahihi
  6. P

    Kama Mzazi, Hili limeniumiza Sana Sana.

    1.Shule hata ikitajwa haisaidii hapa TANZANIA. 2.Watuhumiwa wakitajwa pia HAWACHUKULIWI HATUA 3.Mtoto akitajwa naye atanyanyapaliwa na wenzake. 4.Hata mashahidi wakiletwa mbele ya baraza la shule watatolewa kafara ili shule kulinda jina lake na wanahisa wake. 5.Kwa kifupi kesi za namna hii...
  7. P

    TANZIA: Mh. Salim Hemed Khamis (CUF) afariki dunia

    R.i.p salim hemed khamis
  8. P

    Acha niwafunde kidogo Wanaume

    Ni mjadala mzuri lakini unacheza zaidi na akili au mawazo ya mwanadamu. Je mleta mada unajua wanadamu tuna kuwa na maswali mengi kichwani kabla hatujafanya maamuzi yoyote? Sasa naweza kusema watu katika mila na desturi zao wanakua na maswali mengi lakini nitaweka machache tu ambayo wengi huwa...
  9. P

    KIBANDA: Kwa JK uzushi, kwa wengine kashfa!

    Kibanda ni jasiri sana,mimi binafsi nashukuru jamaa bado yuko hai. Atapona na atarudi mstari wa mbele tu kupambana. Uhuru wa waandishi hauna kikomo. Siku zote waandishi wanatofautiana kimsimamo na upeo wao pia. Viongozi wa aina hii akiwa na mkewe utasikia anajigamba na misemo ya aina hii 'And...
  10. P

    Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    Mtoto APUMZIKE KWA AMANI .Pole KOKUTONA
  11. P

    Namtumbo: Askari polisi auwawa na wananchi wenye hasira kali

    Polisi wetu wanashindwa kufuata maadili yao ya kazi muda mwingi. Dereva kama hajasimama si umwache. Mwisho wa siku wanashindwa kuelewa hizo boda boda zimesajiliwa na zina namba. Soma namba andika kosa lake katika kitabu alafu mtafute baadae. Utakuta askari wa aina ya huyo marehemu hana hata...
  12. P

    Utekaji, uuaji watu Tanzania: Nani atafuata baada ya Kibanda?

    Wazee wa the Ostrich approach wanaweza mchukua yoyote yule. Nachukia mtu anayekimbia kivuli chake mwenyewe. Hawakawii kusema 'Mbona hata nchi fulani wanafanya haya tunayofanya', 'Hatuna muda wa kuangaishana na watu wanaotaka kuhatarisha maslahi yetu' Watu wa aina hii utasikia wanasema ni...
  13. P

    Prof Chinua Achebe is dead

    kazi zinaendelea alizoacha mpambanaji wa riwaya na tamthilia.Rip Chinua Achebe
  14. P

    Serial killer in Dar!

    Kwa ni vitu vya ncha kali haviwezi kupenya katika vioo? au vioo hivyo vinakua vile visivyopitisha risasi!
  15. P

    Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    1.Kila Idara inautendaji wake sasa kwa hapa lolote laweza kutokea watu wakalaumu Idara yote wakijua fika hauwezi kuiwajibisha idara yote hata siku moja. Ni kama wanasiasa walio madarakani wanavyoweza kulitumia Jeshi la polisi kwa shughuli za kichama huku wakitambua kitu chochote kikienda mrama...
  16. P

    Mauaji yasiyo na ufumbuzi

    Hivi bei ya video kamera na gari ipi iko juu? Siamini mtu anaweza kununua gari akashindwa kununua video kamera kwa ajili ya usalama wake na watumia vyombo wengine wa barabarani. Teknolojia hapa inayoweza kusaidia hapa siyo gharama. Mfano watu wengi wana simu za mkononi ambazo zina kamera nzuri...
  17. P

    Mauaji yasiyo na ufumbuzi

    1.CCTV muhimu zifungwe katika vyombo vya usafiri wa abiria hasa mabasi. Hizi zitasaidia polisi katika uchunguzi wa matukio kama haya. Pia watu binafsi kama una uwezo wa kuweka kamera katika kioo cha gari yako kwa usalama wako na wasafiri wenzako itakua poa. Hapa hatujui nini kitamtokea nani kwa...
  18. P

    Mrisho nyuma!

    1.Msamehe bure alafu mpe muda arudi katika akili yake ya kawaida. Huyu kashajeruhiwa akili yake na matukio yanavyokwenda. 2.Jipe muda wewe binafsi kwani una majeraha akilini pia. 3.Akitaka ukaribu usimkwepe kwani ndiyo dawa pekee ya watu wanaopatwa na majanga kama haya. 4.Kumbuka hujafa...
  19. P

    Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    1.Jina siyo tatizo kwa watu wa aina hii.Mimi kinachonishangaza ni jinsi wanavyoacha wazi vitambulisho vyao na kugundulika kirahisi. Nchi za wenzetu watu wenye majukumu mazito kama haya wanafunuliwa vitambulisho vyao wakati washastaafu. Wakati huo machungu ya raia yashapoa. Mahesabu yao ni...
  20. P

    Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    Jamaa wanajifanya ma spin doctorz wakati Tanzania hakuna usalama kwao hata chembe. Yaani hawa jamaa wanaweka familia, watoto na wake zao rehani kwa maslahi ya watu wachache. Wanashindwa kutumia taaluma zao na akili zao za kuzaliwa hata kidogo. Wamesimamia sana kanuni za taaluma zao ambazo...
Back
Top Bottom