Search results

  1. M

    ajira mpya utumishi

    Asante.Mkataba ninao na pia hilo wazo la kumuona mwanasheria ninalo ila nataka kwanza anipe barua ya kunisimamisha kazi kabisa.Na kwa upande wa damage, kiukweli nilikuwa sina wazo la kurudi chuo mwaka huu lakini alipokuwa anatuajiri alituahidi kwamba hata mtu akienda kusoma offisi itamsaidia...
  2. M

    Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    Magulumaguli BE A REAL MAN! bwana. mimi ni mwanamke ila nakwambia ukweli huyo aliteleza sawa, lakini baada ya kujua ameteleza hakuona umuhimu wa kurudi nyuma na kuendelea na ndoa yake, kwa maana nyingine amenogewa kabisaa na mchezo huo kiasi hata ndoa tena haina dhamani kwake.Hivyo basi mimi...
  3. M

    ajira mpya utumishi

    HABARI MIMI SIJAWAHI KUWEKA POST JAMII SASA NASHINDWA PA KUWEKA ADI ITOKEE NA ISOMWE NA WOTE TAFHADHALI NISAIDIENI KULIPELEKA HIli swali langu PANAPOHUSIKA. Habari wadau! Mimi ninashida nimeona niilete hapa nanyi mnisaidie kwakuwa najua watu wengi wanapita Jamii hivyo nitapata ufumbuzi...
Back
Top Bottom