Nime observe striking similarities baina ya Marais walio tangulia mbele za haki kwa Tanzania:
1. Wote ni Marais walio toka upande mmoja wa muungano, Tanzania Bara.
2. Wote walikua wasomi zaidi Kuliko walio baki.
3. Wote walikua dini moja, wakristo.
4.Wawili Kati yao walirekebisha uchumi kwa...
Kwenye kanuni za utumishi wa umma Tanzania, katika kikao, tai nyekundu huvaliwa na mwenye mamlaka makubwa zaidi katika kikao husika.
Hivyo, mtambo Job yupo sahihi
Radio mbovu ndio huwa ina makelele!!! Hakuna cha maana alicho fanya kwa wanadamu huyo magu aliye oza udongini muda huu. alidhani maisha ni kujemga madaraja tu bila kujali utu wa watu. wengine walijenga lakini tunawakumbuka kwa utu wao.
magufuli amelaaniwa.
Walimu acheni wivu na majungu.
Jaribuni kupendana la sivyo mtakua kada ya kudharauliwa milele....
Kada zingine tupo na changamoto lakini kamwe huwezi kuona tunakuja kutukanana mitandaoni Bali tuna solve katika channel rasmi.
Mialimu sijui mmelogwa?
Bure kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.