Search results

  1. W

    Mama yangu adui yangu

    jamani hii hadith haishi tuuuuuu! MziziMkavu
  2. W

    Mama yangu adui yangu

    jamani hii story imeisha au@ mzizimkavu
  3. W

    Bunge letu linapoteza hadhi!

    sidhani kama ni hekima na busara bungi likiendeshwa kisiasa, mi nadhani bunge ni sehemu muafaka wa kuwasilisha utendaji kazi wa wabunge wetu na maendeleo ya nchi yetu. mhishimiwa spika hebu weka siasa pembeni na mjadili vitu vya msingi bungeni. Mungu bariki Tanzania
  4. W

    Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

    anakutega huyo achana nae bwana
  5. W

    Nitakufa Mara Ya Pili

    Jamani Majigo hii story itaendelea lini, its very nice and interesting :confused:
  6. W

    Computers Magic Tricks

    I got something, thanks wana JF
  7. W

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    kwa kuongezea tu kwa wanawake wanaotumia tigo zile sparms zikiingia zinakaa kule ndani na baada ya muda wadudu huanza kula zile sparms kwa kufauta uti wa mgongo, hivyo mwanamke hupata maumivu makali ya mgongo na kutokwa na majimaji yanayotoa harufu kali. wakup women starehe ya muda mfupi...
  8. W

    kila kilichonamwanzo hakikosi mwisho!

    so sad R.I.P sharo
  9. W

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    kazi ya mungu haina makosa, R.I.P Sharo.
  10. W

    Jeshi la Polisi Dar kuandamana Leo...

    jamani hebu changieni point za msingi, kwani huo unyanyasaji wanafanyiwa watoto wao? police ni kwa manufaa ya umma kumbukeni hao mnaowatusi na kuwakejeli kama sio baba zenu ni mama zenu au ndugu zenu wa karibu. changieni kwa manufaa ya umma.
  11. W

    Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

    pole my dear, kuwa makini na hawa watu wanaopotosha maana halisi ya hili jukwaa
  12. W

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    its so painfull, nadhani ni wakati wakati wa kuwashughulikia hawa uamsho, ikiwezekana kuwatokomeza kabisa, Nia tunayo, sababu tunayo na uwezo tunao pia.
  13. W

    CCM: Waliofanya fujo Zanzibar ni wapinzani (CUF) na ndio waliochoma ofisi za CCM na kufanya vurugu

    Nadhani huu sio muda wa malumbano ya siasa ni kutafuta soln ya kuwadhibiti hawa uamsho kwani ni tishio kwa taifa.
  14. W

    Mauaji ya RPC yaibua mapya, kampeni za CCM zarindima msibani, 15 wakamatwa!

    hivi nyie mnao wachukia polisi ni kweli hamuoni umuhimu wake au mnaongea tu kujifurahisha, kwani huyu kamanda anatofauti gani na mwangosi wote si wameuwawa na wote wana haki ya kuchunguzwa vifo vyao. hebu tubaki katika ukweli na kuacha ushabiki usiokua na maana kwani polisi ni jamaa yako.
  15. W

    PICHA; CHADEMA Yazidi Kuikalia Kooni CCM

    kwa wananchi wanaotaka maendeleo this is your chance 2 make a right decision.
  16. W

    Taarifa ya Nchimbi kwa wanahabari

    hili swala lipo mahakamani tuiache mahakama itoe hukumu.
  17. W

    Taarifa ya Nchimbi kwa wanahabari

    hili swala lipo mahakamani tuiache mahakama itoe hukumu.
  18. W

    CHADEMA yapinga tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    mheshimiwa hapo umekosea, hii iko ndani ya wizara yake ana haki ya kuunda tume ya uchunguzi
Back
Top Bottom