Search results

  1. N

    Ripoti ya UN: Jiji la Dar es Salaam linashika namba 7 katika majiji masikini duniani

    Huwezi fananisha Dar na Nairobi hata kidogo!Miundo mbinu huduma za jamii,barabara ni tofauti kabisa..pamoja na kwamba wao pia wana slums(Kibera)
  2. N

    Serena Hotel na Ubaguzi wa Rangi!, Kwa Mzungu It is OK, Kwa Mswahili Hapana!

    Allen Snr nadhani unatakiwa ujue kila mahali duniani bila ya kujali rangi,kuna watu wabaya na watu wazuri,iko hivyo!!kwa hiyo kuamini kwamba sisi weusi tu ndio tuko na tabia mbaya utakua unakosea.Hivi unawajua Wataliano vizuri?mimi nimeshuhudia amekamatwa kwa kuiba taulo la Hotelini...sasa hao...
  3. N

    Serena Hotel na Ubaguzi wa Rangi!, Kwa Mzungu It is OK, Kwa Mswahili Hapana!

    Pole sana...lakini ulitakiwa wakati uleule uonyeshe ujasiri usimame uende kwenye uongozi wao ili upate maelezo ya kina!!Hapo utakua umesaidia na wengine kwa siku za usoni.Hap walinzi wanatakiwa wapewe semina elekezi kutokana na maeneo ya kazi yao.Kwanza wafundishwe na customer care.Nimekua...
  4. N

    Msaada:jinsi ya ku unlock samsung SGH-T139

    Habari za humu ndani wadau!Ninaomba msaada kwa anayejua jinsi ya ku unlock hiyo simu.IMEI number 355166/05/761656/7.Asanteni
  5. N

    Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

    Naomba msaada ku unlock sim yangu Samsung SGH T139 IMEI number 355166/05/761656/7 Asante
  6. N

    How to unlock samsung sgh-t139

    Ni SGH samahani
  7. N

    How to unlock samsung sgh-t139

    Vipi ndugu!Naomba nisaidie code za ku unlock samsung SHG T139 yenye IMEI 355166/05/761656/7
  8. N

    How to unlock samsung sgh-t139

    Habari!Naomba kwa anayejua codes za ku unlock samsung T139 yenye IMEI number 355166/05/761656/7 Asanteni na nina imani wataalamu humu ndani watanisaidia
  9. N

    Nauza Gari Rav4 Milano 3

    Ni ya 1998,Ina km 100'000.Haikua ikitumika sana,mmiliki wa kwanza ni UN na haikua ikitumika sana.
  10. N

    Nauza Gari Rav4 Milano 3

    Ulaji kea mwendo wa mbali Barbara kuu inaenda kumi.10km per liter
  11. N

    Nauza Gari Rav4 Milano 3

    Nauza gari Rav4 Ina hali nzuri,tairi mpya.Bei milioni 8 na nusu.Mawasiliano 0787 500 547
  12. N

    Mambo 2 yanayotatanisha kwenye hoja za viongozi wote wa Chadema waliojiuzulu na yanayowaumbua

    Kweli Kaka hii staili yao ni ya kuadanganya watoto wa "sunday school"Hivi hata hawashtuki kwamba watu wameshaashtukia na hii staili yao?Unawezaje kumpigia debe adui yako,wakati anakupa wakati mgumu?Si walitakiwa kufurahia badala ya kuumia?Katika pitapita yangu mtaani nimekuta watu wakiulizana...
  13. N

    CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    We ndugu yangu Ishengom utakua unaumwa njaa na sio maendeleo....ina maana we uko wa ajli ya Zitto na sio Chama.Kwa hiyo akifa leo na we unakufa kimtazamo kabisa!!!Lazima utambue Chadema kama Taasisi inaongozwa kwa misingi iliyojiwekea,katiba,kanuni na taratibu zote...sio hivyo unavyolazimisha...
  14. N

    Matokeo 'hasi' ya kumtimua Zitto ni haya; Mbowe & Slaa mnaua chama

    Hivi Hammy-D ni kwamba unajivua utu wako kwa kulazimisha hoja ambazo hata mwanao(kama unao) wa miaka 9 hawezi kuzungumzia hayo unayoongea,rejea kwenye mada!Hebu wakati mwingine usifanye ukitaka kulazimisha kupendwa na hao bwa...na zako!!Shame on your tongue!
  15. N

    CCM - tuambieni wamiliki wa Richmond na Dowans ni kina nani?

    Duh kweli we ni STROKE Hilo swala sio la mtu mmojamoja ni la Tanzania,na kwa sababu limekua na utata wa kutoeleweka na linakua kama vile wanalifunika wananchi wasijue..wanatakiwa (Serikali) kulitolea taarifa rasmi kupitia vyombo vyake kama Bunge n.k.Sasa we unapokuja na mambo ya Brela,yanamfaa...
  16. N

    Utabiri: Ni suala la muda tu kabla CCM hawajamtosa Mwigulu

    Mwigulu alitamka wazi kwamba ana mkanda wa video unaonyesha mipango ya mauaji unaotekelezwa na viongozi wa CDM,hakuna viombo vya usalama vilivyomkamata kumuhoji,lakini watu wasiohusika wanakamatwa na hata kulazimishwa kukubali kua wao ni wahusika.Sasa unaposema tunyamaze bila kuhoji,hapo...
  17. N

    Ufisadi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Bado hatujajua barabara ya kupanda crater(ascending road) ambayo ni kilometa 6 tu lakini inajengwa kwa mwaka mzima,itakua imegharimu sh ngapi?Malori ya kubeba vifusi si mapya lakini nenda uangalie bei waliyonunulia,utaanguka chini!Ni lini Watanzania tutachukua hatua stahiki?Kampuni ya Nyanza...
  18. N

    Mbowe na siasa

    Ndugu yangu nafikiri hujajitathmini hata we mwenyewe,labda we ndiye mwenye pupa na papara kufanya upembuzi yakinifu!Hebu fikiria Mbowe ana miaka 20 kwenye Chama na amekua mwenye hekima kwenye mambo mengi sana,labda kama hufuatilii mambo sana!Nafikiri angekua wa papara asingefika hapo alipo...
  19. N

    Mazishi ya Fr Evaristus Mushi: Dr. Slaa na Mtikila wanena

    Kanisa la kwanza kujengwa na kubwa kwa Afrika Mashariki ni Zanzibar 1845...likifuatiwa na Bagamoyo,hivyo ukristo uliingia visiwani kwanza kabla ya Bara
  20. N

    Watanzania tahadharini kwani tunapotoshwa na M4C

    Huwezi tena danganya Watanzania wameshatambua na ufahamu wanao.Hizo nchi ulizotaja wana uwazi mkubwa ktk utendaji na wananchi wanaonyeshwa kila hatua ya jambo wanalofanya,si kificho na kubagua upinzani kama unaoendelea hapa kwetu.Unachoandika hapa ni kujikosha kwa hao watu wako uonekana uko nao...
Back
Top Bottom