Acha wizi wewe Tapeli: unajitangaza kwamba unauza notisi kwa njia ya email. Na unataka watu wawasiliane na wewe kupitia whatsApp na SMS, na hupokei simu. Unataka utumiwe hela kwa njia ya simu kupitia namba za mkononi. Tumeshashtuka.
Kuweni makini na huyu tapeli, ni mwizi. SOMA NIPASHE...
Notsi za masomo yote Form I - VI, Maswali ya majaribio na majibu. Get in Android play store search thl 2.0 and install. For Computers Download from tHL Web Browser
Naomba msaada
Kwenye hii system ya wfrobot erp nikifungua customer balance report kwenye detailled report - in home HAIONYESHI CUSTOMERS, NAONA BALANCE TUU. ANGALIA HAPA
WanaJF nimesoma hii article 'The developer of this system is supper intelligent' big up. Can you tell us more on theory of Distributed Databse? Also please tell us in detail why it is an issue in shared database?
Ndugu kwa nini usiulize nini tofauti ya mfumo huo kabla hujaanza kuchallenge kitu usichokijua. Huo ndio uungwana, elewa kwanza nini kipya kwa kuuliza then criticize or admire.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.