Search results

  1. D

    Dr Alex, Msaidizi wa Zitto Apigwa na Kujeruhiwa Vibaya Tegeta!

    Waha ni moja kati ya makabila zaidi ya 100 tz zitto kama hili ni kweli basi unamatatizo zaidi ya yale uliyohukumiwa na cc ya chama chako au hii ndiyo akili kubwa unayotuaminisha unayo!!!!
  2. D

    Lipumba: CHADEMA malizeni mgogoro

    Mume akivurugwa mke hawezi kuwa na raha sasa ccm inaumizwa na uamuzi wa cdm mnategemea cuf wanaamani lazima atafute suluhisho amani irejee ndoa yao idumu
  3. D

    Mkakati wa Mwigulu Nchemba Igunga kununua madiwani wa CHADEMA wakwama

    Mwigulu hovyo sana na chama chake kinampenda kutokana na matendo yake ya hovyohovyo
  4. D

    Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Amechanganyikiwa huyu
  5. D

    Mwigulu amwonya spika Anne Makinda

    Mwigulu kama ungejua na kutekeleza majukumu yako kama mb usingeyasema haya sasa ulipaswa uzuie wakati wa kupitisha bajeti lakini wakati wa bajeti ulialia kuitikia ndiyooooooo sasa unapiga makelele
  6. D

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kigoma: Tutamsaidia Zitto

    Huyo mwenyekiti kama hakubaliani na maamuzi ya vikao vya juu vya chama chake c naye ajiondoe tu wakaanzishe chama chao na Zitto kwa nini wanang'ang'ania cdm kama mtaji wa kuanzisha chama ni watu na wao wanaamini zitto anapendwa kuliko cdm ni muda muafaka kwao kuanzisha chama chao waache sarakasi
  7. D

    Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

    Uongozi c umri ni zaidi ya rika kiongozi anapaswa kuongoza njia c kuweka vikwazo jifunze kupima mambo kwa muono mpana wenye tija kwa jamii
  8. D

    Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

    Chadema mkishindwa kumfukuza zitto hamfai kuwa kuaminiwa kupewa dola kama mtaendelea kuoneana haya kama ccm, lazima muwe na maamuzi yasiyotetereshwa na mashinikizo ya kijinga kama haya. hizo picha atakuwa kazitengeneza zitto mwenyewe hii ni usanii vinginevyo aliyetengeneza flayaz hizo...
  9. D

    Nape: Secretarieti ya CCM Inashangazwa na Ukimya wa Ripoti za Mabomu Arusha

    Aliyewateua ndiyo mzigo haiwezekani uende kuchagua mayai viza halafu uyabaini ni viza uendelee kupiga kelele nina mayai viza huku umeyakubatia badala ya kuyatupa lazima umebeba nazi badala ya kichwa. Nape chama chako ni mzigo kwa Watanzania
  10. D

    CCM vs CHADEMA;NANI MTANI JEMBE? KUKOMESHA UBISHI PIGA KURA YAKO SASA!

    Siasa ni sayansi na cdm iko juu sana hicho chama kingine unaweza kukishindanisha na ccj ambao viongozi wake wake ni haohao wa ccm kina nape
  11. D

    CCM vs CHADEMA;NANI MTANI JEMBE? KUKOMESHA UBISHI PIGA KURA YAKO SASA!

    Siasa ni sayansi na cdm iko juu sana hicho chama kingine unaweza kukishindanisha na ccj ambao viongozi wake wake ni haohao wa ccm kina nape
  12. D

    Maswali kwa Mwanakijiji na wengine wenye kufanana naye katika mtazamo wa siasa...

    MMM huwa namchukulia kama mashabiki wa mpira ambao ni wajuzi sana wa kukosoa na kushangilia ushindi lakini ukimwambia aingie dimbani kumbe hajui hata mpira unapigwaje Mwanakijiji njoo TZ walau kwa mwezi mmoja ushiriki mabadiliko hata ya kitongoji chako baada ya hapo urudi nyuma ya keybod...
  13. D

    Video: Nchi yangu Tanzania

  14. D

    TUKUMBUSHANE SIKU 90 za MAPACHA watatu

    Hivi siku 90 bado tu
Back
Top Bottom