Search results

  1. Kinyungu

    Waislamu: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa Bashe

    Hizi ni mbwembwe tu hao watangazaji wakipata chance ndiyo wataiba hadi viroba vya huo mchele waende kula
  2. Kinyungu

    Waislamu: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa Bashe

    Ajabu sana Ni uhakika Waislam watakuwa wa kwanza kula huo mchele. Hao wanaopiga kelele huko Imaan si wamevimbiwa. Subiri wale wenzao wasio na uhakika wa kula wapate huo mchele uone watakavyo uchangamkia
  3. Kinyungu

    Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

    Huwa namshangaa sana Rais Samia aliposema katiba ni kijitabu
  4. Kinyungu

    India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

    Hakuna maeneo maalum ya kuswali? Labda Wahindi hawataki maeneo ya umma kutumika kama sehemu za kufanyia ibada
  5. Kinyungu

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    BBC hao hao wakileta habari za TB Joshua unaamini ila wakileta za ndugu zako Waarab unasema wanatunga uongo...😂😂
  6. Kinyungu

    Historia ya Qur'an

    Mtume alikuwa Muislam kwa miaka 23 (kuanzia miaka 40 hadi 53)..Mimi naomba kujibiwa maswali yafuatayo: 1. Tangu kuzaliwa kwake Mtume hadi alipofika umri wa miaka 40 alikuwa anaabudu wapi? 2. Mungu wake alikuwa nani? 3. Kibla chake kilikuwa wapi? 4. Msikiti wake ulikuwa wapi? 5. Utaratibu wake...
  7. Kinyungu

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Nakumbuka huyu Rais wa sasa alisema katiba ni kijitabu tu
  8. Kinyungu

    Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    Simu ya mchina kushoto haijui hesabu
  9. Kinyungu

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Na wameleta ili wawape ccm. Si ndiyo wapenda vya bure wamejazana huko
  10. Kinyungu

    Je, unaweza kuniambia ni kwanini mpaka leo Tanzania ni maskini?

    Botswana? Namibia?
  11. Kinyungu

    Historia ya Kweli ya Mwanamalundi

    Kama una historia zao tuwekee hapa
  12. Kinyungu

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Hakuna mapato maana kodi wanayokusanya wanakuja kuitumia kutibu hao wagonjwa wa figo. Hakuna kitu wamefanya zaidi ya kutwanga maji kwenye kinu.
  13. Kinyungu

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Serikali ipige marufuku hizi energy drinks hasa za kwenye chupa za plastic maana zinauzwa mno bei rahisi. Kama kuna ulazima ziwepo basi ziwepacked kwenye kopo za Alluminium na moja iuzwe 6,000 ili kuthibiti unywaji holela. Kama pombe za karatasi za viroba zilipigwa marufuku, Serikali...
  14. Kinyungu

    Waandaaji wa Midahalo Tanzania chukueni ombi la Tanzania la Midahalo Chaguzi za AU ifanyike nchini kuboresha Chaguzi zetu!

    Labda wamlete Pascal Mayalla maana hata huyo Makamba mwenyewe atamkimbia mrembo Komba
  15. Kinyungu

    Korea Kaskazini yawataka raia wake wafuge mbwa kwa ajili ya nyama

    Sisi Wana wa Mtwa Mkwawa wacha tuchangamkie fursa hii
Back
Top Bottom