Search results

  1. K

    CHADEMA Geita yasambaratika yenyewe

    Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Geita mjini, Bwana Rojas Ruhega, na katibu chama hicho jimbo hilo, wameanza harakati za kujivua uanachama wa chama hicho ili wajiunge na chama kingine cha siasa kabla ya uchaguzi mkuu. Wanachosubiri ni maamuzi ya utatuzi wa migogoro. Kama hawatatendewa haki...
  2. K

    Buriani Mhe. Komba wa 'Joka la kufugwa'

    Kati ya vijana ninaowaheshimu sana linapokuja suala la taifa huwa anakuwa mtaifa na kuacha uvyama ni huyu nyakarungu, sina la kusema, R.I.P KOMBA
  3. K

    Katibu mkuu Wizara ya afya ufisadi katika wizara yako unaufumbia macho!

    Watumishi wa mradi wa NTLP (National TB/Leprosy Program) katika ngazi za makao makuu wanafanya ufisadi kwa kuwaibia watumishi wadogo ambao ni waratibu wa mradi huo katika ngazi za wilaya. Mfano;- Watumishi walikatwa 25% ya mishahara yao kwa mwaka mzima ambayo kisheria wanatakiwa walipwe mara...
  4. K

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Mwigamba ninasali nae hapa kijenge arusha, nakumbuka kosa lake kubwa lilikuwa kusainisha waumini saini za kumkataa askofu wetu, lakini alichukuliwa hatua za kutengwa kundini na sasa anatumikia adhabu hiyo mpaka arudi atubu ndio abatizwe tena. Alikuwa amepewa cheo cha mzee wa kanisa na alikuwa...
  5. K

    Niliwaacha baada ya kuona njia zao ni za kupotezana.

    Niliwaacha baada ya kuwaona mbinu wanayotaka kuitumia haitazaa matunda na pia haina baraka za Mungu. Niliungana na Mzee Limbu na Dr Shabaan Pamoja na Mzee Nyimbo tukazaa ACT-Tanzania. Nikiwa mwanzo mwa safari niliwakumbuka hao rafiki zangu na kuwaomba waache vita isiyo na ushindi bali waje...
  6. K

    Msajili wa vyama vya siasa ichunguze ofsi yako na uchukue hatua...!!

    Ndugu Msajili wa vyama vya siasa, Inasikitisha sana kumtambua mtu anaevujisha taarifa za vyama kwa watu wenye interest zao kwao, Watumishi wa ofsi ya umma kama yako wanatakiwa wawe na weledi usiotia shaka, lakini ni aibu na ajabu kugundua kuwa wapo watumishi wanaochukua documents za baadhi ya...
  7. K

    Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa isafishwe, kuna wizi wa documents

    Ndugu Msajili wa vyama vya siasa, Inasikitisha sana kumtambua mtu anaevujisha taarifa za vyama kwa watu wenye interest zao kwao, Watumishi wa ofsi ya umma kama yako wanatakiwa wawe na weledi usiotia shaka, lakini ni aibu na ajabu kugundua kuwa wapo watumishi wanaochukua documents za baadhi ya...
  8. K

    Nukuu toka kwa Mwigulu Nchemba kuhusu majeneza ya CHADEMA

    Wakuu, leo wakati nikitizama mkutano wa kuzaliwa CCM, nilimsikia Mwigulu Nchemba akiongea haya.... ...Ni chama pekee kati ya vyama vya siasa Tanzania ambacho mikutano yake wanakuwa na majeneza, wanabeba majeneza ishara ya kusherekea misiba na vifo vya watu kuwa ni mtaji wao wa majukwaa ya...
  9. K

    CHADEMA Yaanza Operesheni PAMOJA DAIMA: Helkopta tatu Kutumika!

    Hao wanachofanya ni kumtisha Zitto kabwe tu wala sio kujenga chama bali kukusanya umati unaokusanyika kutazama helkopita tu, subiri Zitto aje awajibu na ACT -Tanzania
  10. K

    mgombea wa ubunge zanzibar kupitia CHADEMA

    mpka sasa hatujasikia wala kuona mgombea wa cdm huku zanzibar, juzi tulijaribu kuuliza ofsi ya chama hapa zanzibar wakasema chama hakiwezi kupoteza pesa nyingi wakati hakina mizizi, wakasema wanajipanga kuajili vijana wa zanzibar kama njia ya kuwavutia kujiunga na chama, kwa sasa twauliza tujue...
  11. K

    Madiwani wa CHADEMA Ilemela, Mwanza Wakamatwa na Polisi

    kwa hiyo mnaenda kufanya nini, kubomoa kituo? acheni ujinga tumieni njia za uhalali, halafu hao madiwani si walidanganywa na slaa wasiende vikao leo wanang'ang'ania nini sasa, mtapigwa risasi tuwasahau acheniwehu
  12. K

    Tunahitaji chama kipya?

    MM, naomba urdi TZ uje tufanye hayo utamaniyo may be utakuwa chachu ya kuwa na chama chenye siasa zenye utofauti, siasa za kujadili issues na solutions na sio sisa za kuishi kwenye matamko na matukio, siasa za kutafutana ili tumalizane na ili tuonekane sisi wa maana ...njoo home kaka njooo...
  13. K

    Jenista Muhagama; Uchaguzi chuo kikuu Mzumbe haukuhusu

    Huyu mama ni mbunge wa jimbo, ana majukumu ya kuitumikia nchi na wanajimbo wake, Ana kijana wake hapa chuo kikuu cha MZUMBE morogoro anaitwa Victor Muhagama, Kijana wake huyu alijaza fomu za kugombea Urais wa chuo, Majina yao yalichujwa na jina lake lilifanikiwa kuwa miongoni mwa walioteuliwa...
  14. K

    Yanayojiri katika Kamati Kuu ya CHADEMA - Jan 04, 2013

    Dr mkumbo aitwa aingia ukumbini huku watu waliovalia kama maninja wakiwa mlangoni. Akaribishwa na mbowe kisha aomba kusalimia kwanza na kuomba mwongozo. Aomba mbowe na slaa wasiongoze kikao kwa sababu aliwaandalia mkakati wa kuwashinda wao katika uchaguzi 2013 waraka ulionaswa na kusababisha...
  15. K

    Zitto kung'olewa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA

    WAKUU, Kutoka makao mkuu ya chadema, Tumefinywa sikio na mtumishi muhimu sana wa chadema, kuwa mwenyekiti wa taifa wa chadema (MBOWE) yuko kwenye wakati mgumu sana anapotafakari uchaguzi wa chama hicho. Kila mpango anaoupanga anaona hauna zao la yeye kufanikiwa kumshinda Zitto katika uchaguzi...
  16. K

    Rasello ya Tanzania yazidi kupaa. Sasa ndani ya Forbes

    kwa kuitazama taswira ta nchi hivi sasa na kwa namna ccm wanavyopata wakati mgumu kuwashawishi wazanzibar wakubali mfumo wa serikali mbili pekee. Itakua kazi kubwa sana mgombea wao kupata kura huko zanzibar, kwa hiyo njia sahihi kwao kupata kura zao ni kuwapa mgombea atokeae huko yaani kwa sasa...
  17. K

    Live on ITV: Heche anamwaga cheche ndani ya 'Malumbano ya Hoja'

    eti vijana wanatumika ccm, yeye anatumika na mbowe ***** mkubwa huyu
  18. K

    Live on ITV: Heche anamwaga cheche ndani ya 'Malumbano ya Hoja'

    linajiita mwita maranya, mara igwa au hardcole
  19. K

    Live on ITV: Heche anamwaga cheche ndani ya 'Malumbano ya Hoja'

    poleni chadema kama huyo ndio kiongozi wa vijana, anatoka nje ya maada, anakurupuka kutafuta kushangiriwa tu na watu kwa kuinanga ccm, yeye anaswasema cuf, je yeye anapoisema ccm je. hili ni likilaza haswaa
  20. K

    ADC ni chama kipya na kimeshapata usajili tayari

    katika nchi hii ya watu vigeugeu, taifa lenye watu wenye tamaa na wanaojali maslahi yao binafsi kuliko ya taifa, ni lazima tukubali idadi kubwa ya vyama vya siasa, kwa sababu wapo viongozi wasio tayari kuongozwa, wanaposhindwa kwenye chaguzi zao tu, wanahama au wanaona bora chama kife...
Back
Top Bottom