Search results

  1. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mbona povu linakutoka? Embu weka tulia uchanganua vizuri watu wanaweza kukuelewa cz inaonekana umepanic zaid ya hao unaowasema
  2. M

    Contineous students wa vyuo tofauti na udom mlioomba mkopo kuna matumaini yoyote?

    Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Wanafunzi tunaoendelea na masomo vyuo vikuu nchini tulioomba mkopo upya kwa mwaka wa masomo 2013/14 wote tulikosa na kupewa majibu ya matumaini kuwa yale majina yalikuwa ya fresher's ( yaani watu waliochaguliwa vyuoni kwa mara kwanza kwa mwaka huuu wa...
  3. M

    Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

    Sasa kaka km ndo vitabu nilivyovisoma shuleni kwetu niandike nini? Sisis shuleni kwetu tumesoma current issues zaidi, bt sorry km una interest kwenye hizo Sura za kitabu vhangu cha primary.
  4. M

    Wale wa shule za mfagio na kidumu cha maji soma hii

    Msondo na Ottu Mandojo na Domokaya Chidi Benzi atoboa pua Wassira asinzia Bungeni
  5. M

    New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

    Ingawa hadi sasa hajajulikana ni vyema tutazame jinsi papa mpya anavyokabiliwa na majukumu katika kazi yake ya utume kwa kanisa. White smoke appeared from the chimney above the Sistine Chapel Wednesday, and bells from St. Peter's Basilica have pealed, meaning the 115 Roman Catholic cardinals...
  6. M

    Ubishi wa Mawaziri juu ya nani kawakomoa zaidi watanzania

    Philipo Mulugo. Nyie nyote cha mtoto. amai nilipokwenda South Africa nilitengua Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili kuwaridhisha Wazanzibari, nikaziunganisha Tanganyika na Zimbabwe. Sasa hivi nikienda Zanzibar wanalilia niwe rais ili niwape uhuru kamili.
  7. M

    Hali ni baadhi ya majibu yaliyosababisha vijana wetu kufeli kidato cha nne 2012.

    Mdogo wangu, kunililia mm haisaidii. Hilo ndilo jibu ulilojibu. Km unadhani ulionewa kata rufaa uone km hutapewa hiyo FLD tena.
  8. M

    Hali ni baadhi ya majibu yaliyosababisha vijana wetu kufeli kidato cha nne 2012.

    Mtihani wa Kiswahili. SEHEMU E. Eleza hatua za kuandaa Mdahalo. Mwanafunzi kwa kutokujua maana ya Mdahalo akajibu hatua za kuandaa mdahalo kama ifuatavyo: 1.Unachukua mdahalo wako kisha unauosha vizuri 2.Hakikisha mdahalo wako haujakomaa sana. 3.Bandika Sufuria lako jikoni. 4.Weka...
  9. M

    A very simple quiz!!!

    0/0=2 Soln Note:......0/0=0 0/0=2/1-Cross Multiplication [0 times 1]=[0 times 2] 0=0 Hence Proved
  10. M

    Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Wa chupi
  11. M

    Taarifa ya ajali ya Kamanda Mawazo na namba yake ya simu!

    Pole sn kamanda, hata Nyerere na wazee wenzie walipitia tabu km hizi wkt wa kudai uhuru, bt naamani kupitia umoja wetu freedom is coming tomorrow. Tunakuombea upone haraka.
  12. M

    Shule zilozoongoza matokeo kidato cha nne 2012/2013

    1.Dr slaa high school 2.mbowe boys 3.Mdee Girls 4.zitto seminary 5.mnyika seminary 6.lissu boys 7.sugu boys 8.nasari academy Zimefutiwa matokeo yao baada ya kufanya vizuri kupita kiasi.
  13. M

    Shule zilozoongoza matokeo kidato cha nne 2012/2013

    Inamaana; William Lukuvi Stephen Wassira Museum School Job Ndugai Sylivester Mabumba na nyinginezo zilizoongoza mwaka jana mwaka huu hazijaingia top 10?
  14. M

    Matumizi ya namba badala ya majina yawakwaza wazazi/walezi - matokeo kidato cha nne

    Thats the reason behind.Lazima wakumbuke kuwa wazazi we2 watalaghaiwa kwa kupewa matokeo feki na vijana wa digital.
  15. M

    Nape amtaka Mnyika kujitokeza mbele ya Wananchi kuweka wazi Kiwango cha Elimu yake

    Gazeti lenyewe ni la ''UHURU'' wa Wapuuzi. Jambo la muhimu alilotakiwa kusema NAPE a.k.a ''MWANAHARAMU'' ni km amempata babayake ua la!, kabla ya MNYIKA kutaja kiwango chake cha Elimu na
  16. M

    Wanaume wenye sura hii, wana misimamo ambayo hawako tayari kuivunja…!

    Kwa Reseach ipi uliyoifanya?.................. no evidence, no right to speak/write.
  17. M

    Msaada kuhusu kuappeal HESLB

    .Mimi cjapata kabisa hata 0% je hapo itawezekana kuappeal?
Back
Top Bottom