Search results

  1. cbandiho

    Maoni: Bunge lijadili suala la wizi wa madini yetu,la sivyo bunge halina maana

    Hapa ndo mahali Pa kuwabana na kuumbua unafiki wao, hili swala ni la kitaifa, ingekuwa vema kama Bunge lingesimama imara katika issue hii ya madini lakini kama litaamua kuacha jambo hili lipite Basi hakuna tutakachovuna, tutazid kuibiwa tu
  2. cbandiho

    Maoni: Bunge lijadili suala la wizi wa madini yetu,la sivyo bunge halina maana

    Bila kupepesa macho,kama bunge letu litaacha hili swala la madini lipite hivihivi,basi bunge letu litakuwa la ajabu kuliko mabunge yote yaliyowahi kutokea. Kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri bya muungano wa Tanzania,Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina sehemu mbili,yaani Rais na...
  3. cbandiho

    Rais kuwa makini na Waziri huyu, atakupeleka pabaya

    Kumbe hata wazir Mkuu anaunga mkono bunge kutooneshwa live!
  4. cbandiho

    Rais kuwa makini na Waziri huyu, atakupeleka pabaya

    Nape ndiye wazir wa habari, ndiye aliyepeleka hoja yaya kusitisha matangazo ya bunge live, anasema usitishwaji wa matangazo ilikuwa ni maamuzi ya bunge. Pole pole IPO siku atasema alpokea amri kutoka juu.
  5. cbandiho

    Rais kuwa makini na Waziri huyu, atakupeleka pabaya

    Tatizo unatoa maoni bla kusoma na kuelewa vizur, ndo maana ni jukwaa la great thinkers, ungesoma ungejua hyo wazir ni nan na kafanya nn
  6. cbandiho

    Rais kuwa makini na Waziri huyu, atakupeleka pabaya

    Wewe ndo hjasoma na kuelewa nilichoandika, au kwa vile sikumtaja jina? Sifa za matendo niliyoyataja ndo njia pekee ya Rais kumtambua.
  7. cbandiho

    Rais kuwa makini na Waziri huyu, atakupeleka pabaya

    Mhe Rais, Tafadhali siku yoyote wakati wowote ikikupendeza, naomba usome ushauri wangu na ikikupendeza zaid ufanyie kazi. Mimi ni miongoni mwa watanzania uliowaomba wakuombee,lkn kila nikiomba naona giza lmetanda bungeni na giza hlo linaonekana kwa wazir wako. Kabla sjaendelea zaidi, naomba...
  8. cbandiho

    NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    WANASHINDWA KUWAPA MIKOPO WANACHAMA WA SACCOS WALIOJIUNGA NSSF, NA WAKAAHIDIWA MIKOPO WANANCHI WALALA HOI. MAFAILI WAMEYALUNDIKA TU OFISIN KWA KUWAAHIDI WATAPEWA MIKOPO KUMBE PESA WANAZIPIGA KUPITIA MIRADI YA KIFISAD. TENDENI KAZI KUSAIDIA KUINUA MAISHA YA WATZ NA SI KUJINUFAISHA NYINYI.
  9. cbandiho

    Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    Dalili za anguko la ccm na mabadiliko yaliyotabiriwa zinamwangukia LOWASA kama shujaa alyeandaliwa ktk mabadiliko hayo. binadam wanatabia ya kupuuza utabir na kutoamn mpaka jambo litokee,hata mm mwanzon skuamn hata kidogo kama hili ndo linaweza kuwa ndo anguko kuu la ccm lililotabiriwa na...
  10. cbandiho

    Top 5 ya wagombea hatari kwa uhai wa CCM

    Swala lililobaki ni UKAWA kujidhatiti,kuwa pamoja na kuamua kupigana pamoja ili kuiondoa ccm,wakijichanganya hapo wamepoteza uaminifu walionao kwa sasa
  11. cbandiho

    Top 5 ya wagombea hatari kwa uhai wa CCM

    mambo kama hayo ndo yataiangamiza ccm,usione watu wanamshangilia hiyo ni kwa sababu amefanikiwa kuunda mtandao kwa nguvu ya pesa,kuna watu wenye hekima na busara wengi wanakerwa na mwenendo huo,tena kama ccm ikikosea ikamuweka huyo jamaa wewe mwenyewe utajionea...mpasuko utaazia hukohuko ccm
  12. cbandiho

    Top 5 ya wagombea hatari kwa uhai wa CCM

    Kwa maoni yangu,wagombea wafuatao ni hatari kwa uhai wa ccm,kama miongoni mwa hawa atapitishwa kupeperusha bendera ya ccm,kuna hatar kubwa ya ccm kupoteza urais. 1. Lowassa- Ana kashifa kubwa ya ufisadi wagombea wote wanamnanga kama fisadi,ana makundi(mtandao) ambao ni hatari kwa chama,CCM...
  13. cbandiho

    Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

    ccm sasa wanahaha kila siku matamko hayaishi,mwaka huu ndo mtaijua nguvu ya mafisadi mliowafuga
  14. cbandiho

    Nguvu ya mafisadi CCM hakuna wa kuizuia wote wamefyata mikia

    CCM chama ambacho hivi karibun kimejulkana kwa jina maarufu CHAMA CHA MAFISADI,kimejulikana hivo kutokana na makada wake wengi tena wenye nyadhifa nyetu kuhusishwa na kashfa za ufisadi. baadhi ya makada kama akina sitta,mwakyembe,Nape,makonda na wengine walisimama kupambana na kile kilichoitwa...
  15. cbandiho

    Zitto: Acha kusafiria nyota ya David Kafulia, Freeman Mbowe, na Halima Mdee

    kilichoandikwa ni ukwel hata kama kubenea anachuki naye basi anamchukia kwa matendo ya kipuuzi na kilaghai anayofanya Zitto.hata m namchukia zitto kwa namna anavojifanya mzalendo wakati hakuna uzalendo ktk matendo yake. mfano.Wakati wa mjadala wa maazimio ya uchotwaji wa mabilion kashfa ya...
  16. cbandiho

    Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Nilitaka Tibaijuka na wengine waliotajwa ktk maazimio ya bunge, Rais angewawajibisha lkn Nashindwa kuona kosa lililomufukuzisha uwazir Tibaijuka kulingana na maelezo ya hotuba ya Jk. ktk maelezo ya Jk ktk hotuba yake amekir Kuwa pesa za Escrow ni Mali ya Iptl na Kuwa Lugemalira alilipa kodi...
  17. cbandiho

    Huu ndiyo ushindi wa kishindo wa Jaji Sinde Warioba urais 2015

    Sasa jaj Sinde Warioba ni mwiba CCM,wanahaha kumdhibit wanafikir atatangaza kugombea,kumbe yeye anatetea masirah ya watanzania,CCM sasa mnatumia mbinu chafu,mnajimaliza wenyewe
  18. cbandiho

    Huu ndiyo ushindi wa kishindo wa Jaji Sinde Warioba urais 2015

    Napata waswas na kaul yako,Warioba anagombana na serikal? Na serikal n nan? Na mamlaka iliyonayo yanatoka wap? Warioba alkuwa akieleza na kusisitiza maon yanayopuuzwa ktk rasmu iliyopendekezwa na wananchi! Ugomvi huo uko wap? Je kusema maon ya wananch yamepuuzwa n kugombana na serikal?
  19. cbandiho

    Huu ndiyo ushindi wa kishindo wa Jaji Sinde Warioba urais 2015

    Hajazeeka akili, CCM imezeeka kila kona,huyu mzee cku aktangaza nia,utaona CCM wanapalanganyika
Back
Top Bottom