Search results

  1. L

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Pengine watamchague Zitto eti kwa sababu ni Muislamu. Lakini kwa nchi inayotaka mabadiliko ya dhati huwezi mpatia Zitto Urais akamkataa Dr Slaa. Urais wa nchi unaangaliwa vigezo vingi sana. Mtu aliyekuwa Mwanajeshi, au Polisi ukimpa Urais bila kumpatia mafunzo ya utawala mnajua athari zake na...
  2. L

    Kwanini JWTZ walihusika??

    Polisi ndio wanasababisha Watanzania wawazoee vibaya. Vurugu nyingi wanazisababisha wao alafu wanashindwa kudhibiti. Huo ni mwanzo tu. Ngoja siku wataiba kura za CUF au CHADEMA tena wataona mziki wa Kilingala.
  3. L

    Re: Serekali isitishe liseni za uwindaji na usafirishaji wanyama

    Mimi kama mzalendo na mzawa wa Tanzania naishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kusitisha na kufuta kabisa liseni za Uwindaji na uuzwaji wa Wanyama hai Tanzania. Nchi inatia aibu. Meno ya Tembo kukamatwa nje ya nchi ni kudhihirisha kwamba Tanzania sasa rushwa imekithiri na Serekali...
  4. L

    Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

    Mimi kama mzalendo na mzawa wa Tanzania naishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kusitisha na kufuta kabisa liseni za Uwindaji na uuzwaji wa Wanyama hai Tanzania. Nchi inatia aibu. Meno ya Tembo kukamatwa nje ya nchi ni kudhihirisha kwamba Tanzania sasa rushwa imekithiri na Serekali...
  5. L

    Umelazimishwa

    <!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:PunctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/> <w:SaveIfXMLInvalid>false</w:SaveIfXMLInvalid> <w:IgnoreMixedContent>false</w:IgnoreMixedContent>...
  6. L

    Nilichojifunza chadema vs ccm jangwani

    Ndugu Watanzania mimi nilisikitishwa sana na Kauli za Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda kuwa Sera ya Serekali ya CCM ni kupita katika majimbo ya Wapinzani na hata majimbo yao kuhakikisha wanashinda katika uchaguzi Mwaka 2015. Kauli hii inamaanisha kwamba: -Sera ya Serekali ya CCM ni...
  7. L

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Mimi ningemchagua Dr Slaa kwa sababu zifuatazo. -Msomi anayejua kudharau wanaombeza. -Mpole mwenye kujali wanyonge -Mvumilivu kwa wanasiasa wabovu kama hawa wa CCM -Mbunifu wa kujua awafanyie nini Watanzania
Back
Top Bottom