Search results

  1. M

    Je, Kikwete ni mdini?

    ukweli ni kuwa anapendelea wakiristo. kwani muhula wake wa kwanza wakiristo walilalamika sana wapewe nafasi serikalini na alimteua mkiristo mmoja kwenye nafasi ya ubunge. na huyo aliyeteuliwa alisema kuwa nafasi yake bungeni ni ya jamii sawasawa na kuwawakilisha wakiristo. kwani dini lake hilo...
  2. M

    Kwa nini Chadema wasidai Tanganyika yenye histria ya nchi wadai katiba bila nchi?

    ndugu yangu kweli mzanzibar ni aibu kuitwa mtanzania na kweli hapendi kuitwa mtanzania. wala wazanzibar hawataki muungano, kila anayetaka muungano ni mkuja au ni yule muhafidhina. 1. mapinduzi hayakufanya na wazanzibar ila yalifanywa na watanganyika na tanganyika haikuwa na bandari sehemu...
  3. M

    Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    mawazo yako ya busara wangu. hilo gari likauzwe alafu pesa zikanunuliwe majembe wapewe sadaka wakulima kwani serikali kununua matrekta hawataki wananunua mashangingi tu
  4. M

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    lakini superman hizi shuhuda kwanza uliwahi kuulizia kwa wazee wako kuanzia mabibi mpaka..... Isije ukawa ulimuona supergirl hakuvaa chupi unasema mtu mwengine?
  5. M

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    nahisi hili ni kweli kama yule baba kasema linaanza kutendeka kwani wanawake wengi hufata mashauri ya akina baba
  6. M

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    ndugu yangu kuna madada au mama wengi huwa wanarahisisha kazi makazini au sehem nyengine kutokana na sababu mbali mbali za kutovaa chupi. Makazini kuna sehem mbalimbali ambazo pia hurahisisha kazi kwa kufanya kazi. Kutofavaa chupi pia moja ya kurahisisha kazi kama mtu mkojo umemkaa basi...
  7. M

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    WAZANZIBAR WANATAKA NCHI YAO AMBAYO WATANGANYIKA KWA JINA LA YESU WALIWAUA NA KUWAONEA MPAKA HII LEO. KWA HIYO JAPO BARA KUPELEKA ZNZ JESHI NA KUFANYA MAPINDUZI ZANZIBAR KILA UCHAGUZI BADO WANZANIABAR WATAJARIBU KUDAI NCHI YAO KWA AMANI. KAMA CCM SAWA NA NGURUWE BASI SIO AJAMBO KWANI CCM WA...
  8. M

    mkapa akimtunuku dakta kikwete shahada

    kuna wanasiasa wengi au viongozi wengi wanaitwa dr. Eti wamepata shahada za ma dr. Hawa watu utawakuta mawaziri na kupewa vyeo vikubwakubwa lakini huu udokta wau hawawezi hata kufanyia uperesheni ya panya. 1. Sasa mie nataka kujua kikwete alisomea nini hata apewe shahada? 2. Ni shule gani...
  9. M

    Picha: Ni kweli na shibuda hamtambui kikwete hii ilikua jana kwenye mnuso wa wabunge

    ali kuwa akimwambia mkuu nimeponea chupuchupu lakini kula ipo pale pale. mkono huu bado mie nimo. si mulijaribu kunitoa.:eek:
  10. M

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    sisi wananchi ndio masikini lakini viongozi wetu sio masikini, na siku za kula mtu akipikiwa pilau ya siku moja tu basi kila yake kwa viongozi wapotofu. lakini hili swali nafikiria akaulizwe kikwete kwani yeye na jamaa zake wanakula uzuri lakini sie naona ndio wapumbavu sio masikini
  11. M

    Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

    mumejisahau hiyo zanzibar yenyewe muungano wacha huu muungano wa tanganyika. hapo zanzibar kuna muungano wa watanganyika, wakiristo, watumwa na mafisadi sasa wazanzibar mutakimbilia wapi? waziri mkuu mizengwe ameshasema wazanzibar wamekisha sasa sio muungano ila ishakuwa nchi moja...
  12. M

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    2. wakorinto 11 >15 maana watu kama hao ni mitume wa uongo,watendao kazi kwa hila, wanaijigeuza wawe mfano wa mitume wa kiristo. wala sio ajabu maana shetani mwnyewe hujigeuza awe mfano mfano wa malaika wa nuru. basi si neno kubwa basi watumishi wake basi watumishi wake nao hujigeuza wa...
  13. M

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    hivi ni habari tu za roho mtakatifu nyerere kwani hiyo historia yake ndio iliyomfanya awe mtakatifu. katika sifa moja ya ytakatifu ndio hizi
  14. M

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    majibu mazuri ndugu yangu. nakama utakumbuka hata papa wao huyo aliyekufa walimtangaza mtakatifu kama ulisikiliza habasi siku za nyuma
  15. M

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    wakiristo wote watakatifu wakiijuabiblia wasiijue . wasomee 2 wakorinto 11. 13>15wanajiona kuwa mitume wa kiristo ndio waongo lakini ipo mipofu http://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc&feature=related muwatizame hawa majeshi ya nyerere katika mapinduzi ni mambo ya kusikitisha na waislam...
  16. M

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ watanganyika zamani walikuwa wakiiona zanzibar kama ulaya leo laana tupu na njaa na ukafiri , ufisadi
  17. M

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    ameomba tuchangie tetesi nafikiria hana kosa tutamkumbuka kwa mabaya na kuongeza ukafiri na kuwaua waislam zanzibar. nengependa kwanza mutizame hii film http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ ndio nikasema utakatifu wa ukafiri. kwani zanzibar inajulikana sana historia yake lakini...
  18. M

    Taarifa ya daktari wa rais

    museme kweli kama mziki mutwambie au kitetemeshi
  19. M

    Mji mkuu wa Tanzania ni upi?

    mji mkuu wa tz ni dar er salam. lakini katika kuibiwa pesa nyingi kisiri ili kuujenga mji wa dodoma. sasa hii siri inatatanishwa bila ya kusema ukwele. watu walioiba pesa kuujenga mji wa dodoma na pesa hizo kuzitia kibindoni, sasa imekuwa kitatanishi lakini mji mkuu halisi ni dar suala...
  20. M

    Dr. Shein naye ameanza "usanii"?

    huyo mnafiki ndugu zake pemda wanakufa kwa matatizi kila siku. na hapo yupo kwanafasi ya muungano yaani kwao na hata bongo lakini hana faida yoyote na ndungu zake wapemba kuwatete yeye na mawaziri wenzake kutoka kwa wapemba huko. kazi kutizama matumbo yao na kuwaua wenzao huko zanzibar...
Back
Top Bottom