Search results

  1. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    First line Fluoroquinolones Second line Tetracyclines Third line Macrolides Mim nimetumia 1st na 2nd line Hali iko poa, kama Hali ikiwa mbaya utapewa 3rd line Ila dawa izo Fluoroquinolones zinazngua Sana after 3 months dosage.
  2. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Kwa asilimia kubwa nimepona, Ila kuna maumivu Fulani ivi yanakuepo tofauti na mara ya Kwanza, ni kama unakidnda afu unakitonesha kind of maumivu, Pia hii chronic prostatitis huathir phycology so sometimes unakuta unajihis huko Sawa Iakin ukipima unakuta hamna kitu. But kila muda unavoenda Nazid...
  3. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Ni kweli, Ila treatment nilifanya makosa mwanzo Kwa kuto kuwaona urology specialist mapema, so awa ma GP wao Wana treat clinical picture. Ndio maana unaona dawa kila Aina apo. But for Chronic Bacterial Prostatitis ambayo ndio currently diagnosed kwangu ni very tricky treatment zake. Dawa ni...
  4. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    5th week on antibiotics treatment naona kuna improvement kubwa japo kuna siku unaweza kuwa vibaya... Dawa sahihi zipo Kwa kila ugonjwa shida MTU unaumwa unapewa dawa ambazo sizo zinapelekea bacteria kuwa sugu, janga nalo hili. Ushauri; Kwa mwanaume kama utaona unakunywa antibiotics za kila...
  5. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Thanks Dr Kwa Ushauri wako, nahisi pale agakhan walisema ni prostatitis kutokana kwamba antibiotics nilizopewa zilkua sahihi kabisa Kwa gono, na ilitakiwa niwe nimepona, Ila kutokana na kwamba wadudu wengine waliingia kwenywe prostate dawa nilizopewa hazipenyi kirahis na hivyo ndio ikawa...
  6. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Thanks Sana, wataalamu WA urology WA pale agakhan ocean road... Dr Mawalla, na Dr Zahr wako vizur Sana... Kesi yangu wameniambia ishakwisha Nile Sana, maji mengi nimalize na Dozi afu niludi tena hospital
  7. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    There are always certain types of people on internet, filled with lots of HATE, ENVY and GRUDGE. Moreover these PEOPLE will JUDGE and give verdict to people they even don't know.... had unajiuliza na kujua kwamba hili nalo ni tatizo katika jamii..... Thanks Wataalam na watu wengine ambao...
  8. dopamine-B

    Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Hali ni mbaya Sana Mimi naendelea na matibabu so chochote kinachoendelea namjulisha huyu ndugu nae apate walahu nafuuu ya hii issue... Mim nipo Dar
  9. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Watu wanaandika Kwa mihemuko bila hata kusoma kichwa cha Uzi.. Ila comments za -ve nazipuuza.. Naendelea na dozi na mabadiliko yapo mazuri Tu. NB tuwasikilize Wataalam.
  10. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Hospital nyingine niliambiwa ni 60k. Agakhan Ocean road pale unafanya consultation 77k na test Lab ni 87k Jumla 160k.
  11. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Hili ni tatizo Kwa hospital zetu... Ukiuma mkojo unapokojoa ni UTI Hata nijieleze vipi naambiwa ni UTI au fungus Sugu.. Dr mmoja nikamwambia kuna siku niliona Kama maziwa mepesi iv mwishon MWA mkojo nimeiona once or twice Akasema bado sijasema hii ni UTI Kali. Agakhan nashukur waltumia njia ya...
  12. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Nina elimu ya university, STD inawezakumpata MTU yeyote.. Pia usitishike, hapa tunapeana maarifa Tu, na si lazima upokee kila kilichomo humu... ....ni tatizo limenipata na nipo napambna nalo. Na nipo naendelea vizuri sasa
  13. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Huyu mwanamke yeye alishatibiwa na kapona kabisa, nashukuru na mim pia nimeanza kupata nafuu.
  14. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Jana majibu yametoka Agakhan ya culture and sensitivity. "NO BACTERIA OR FUNGAL GROWTH" Dr kanambia Kua inaamanisha Kua dawa nilizopewa zinafanya kazi. Hivyo basi nimalize dozi. Pili kakanusha madai ya Kua kuna "Gono Sugu" isipokua nilienda hospital za Kwanza wakashindwa kunipa right...
  15. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Naisubiri iyo nimeambiwa after 5 days kutoka leo
  16. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Shukran Kaka nipo Aga khan APA sea view kuangalia kupata icho kipimo culture and sensitivity
  17. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Sipo kuelezea matatizo yote hapa, isipokua nataka nipate mawazo yanayoweza nisaidia kutatua changamot niliyonayo. Huyu mwanamke yeye alishatibiwa, pia sipo nae tunaish sehemu tofauti. Pia Dr kasema kwao hawana dalili Sana ni kama carriers. Ila nilipo mwambia naumwa naona kama anaufahamu huu...
Back
Top Bottom