Search results

  1. F

    Wagombea 30 wanalifanyia mazoezi jimbo la Iramba mashariki.

    hausomeki kabisa gamba jipangee au ndo wenge?
  2. F

    Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

    jaman tujalibu kujenga hoja kwa vitu vya msingi kama mtu hakutaja jina kamili na ww ndg yangu umekulupuka na kusema alichokuwa akimaanisha as if ulikuwa ndan ya moyo wake achana na mawazo mgando kaka hii cyo karne ya kufikilia elewa ni hayo 2
  3. F

    M4C, Lema kuiteka Moshi kesho

    am very proud kuwa mchaga kwa kuwa magamba ha2yataki kabisa sisi chadema ndo mpango mzima
  4. F

    Mtihani mpya kwa Lowassa; Salma Kikwete, Ridhiwani nao hatarini

    habari ndefuuuu..lkn kumbe ni upuuzi 2 magamba hawana jipya
  5. F

    Kwanini JK aliungwa mkono sana 2005 na kuchukiwa 2010?

    tatizo hakujua kuwa chama ni institution ambayo inaunda serikali makini yenye watu makini yeye akaunda serikari kwa uswaiba ki2 ambacho kitamkosti mpka anakufa
  6. F

    Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

    shibuda akae pemben hii siyo ngoma ya kisukuma unachezacheza tu kuwapiga roba magamba siyo mchezo yeye acha akae pemben hii ngoma lazma ujipange kama kutoa pepo ivi
  7. F

    Mtatiro afichua kilichomfanya ajiunge na CUF

    ndoa ya mkeka ya zanzibar imeifanya cuf kikawa chama ambacho siyo makini badala ya kueleza madudu ya mumewe ccm anahangaika na CDM wanapoteza muda tu.
  8. F

    PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

    vijana wadogo ambao tulitegemea kulisaidia taifa le2 lkn wanatumia jukwaa la siasa kuongea upumbavu ambao hata baba zao hawawezi kusikiliza nape na mwigulu wanamawazo mgando kweli hata speech zao zinaonesha hawana akili kabsa
  9. F

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    jaman haya ni mauwaji yaliyokusudiwa kabisa huyu askari utadhan yeye hana damu hadi anamfanyia unyama kiasi hiki huyu mwandishi jaman kweliii.....!
Back
Top Bottom