Search results

  1. ligendayika

    Rais Samia: Miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ni urithi wetu

    Ni kweli ila kuitekeleza anatakiwa awe na tabia kama za alieianzisha.
  2. ligendayika

    Kwa anavyotaka awe lilikuwa ni kosa kubwa mno kwa yeye kumchagua VP tuliyenaye awe msaidizi wake.

    Kazi take mi kufungua mikutano na makingamani na kukata utepe.
  3. ligendayika

    Hivi Wanyonge ni wakina nani ambao Rais Magufuli anahudumia?

    Sijijui ndio maana ya kuuliza ili nijue nipo kundi lipi
  4. ligendayika

    Hivi Wanyonge ni wakina nani ambao Rais Magufuli anahudumia?

    Tajiri hawezi kuwa mnyonge
  5. ligendayika

    Hivi Wanyonge ni wakina nani ambao Rais Magufuli anahudumia?

    Wadau nipeni maana halisi ya mtu mnyonge. Manake tunasikia wanyonge wanyonge. Je ni akina nani hao.....
  6. ligendayika

    Ujinga wetu umekatisha maisha ya Rais Magufuli

    Wengine walimwacha anazurula bila kuchukua tahadhari yoyote wakati wanajua wazi kuwa covid19 imetapakaa kote na hatari alikua mgonjwa
  7. ligendayika

    Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

    tatizo ni wale waliokua wanamruhusu kuzurula bila kuchukua tahadhari ya covid19 huku wakijua jembe ni mgonjwa na ana afya ya mgogoro.
  8. ligendayika

    Haya hapa masharti yalioifanya Serikali isite kuendelea na mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Bifu na waliopita yenu hamyasemi tunamsubiri atakaewapokea nae atayaweka wazi yakwenu
  9. ligendayika

    Tundu Lissu: Naomba nitofautiane hadharani na Mwigulu Nchemba kuhusu suala la wakurugenzi kusimamia uchaguzi

    Ndo mana hawaamini kama naumwa Licha Kupo vizuri sanayksma si chamgonjwa
  10. ligendayika

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Maoni yako hayazuii wengine kufikili vinginevyo hata hayo mawazo yako si sahihi Kwa watu wengine
  11. ligendayika

    Mtatiro: Umefika wakati wa Kardinali Pengo apumzike, uwezo wa kufikiri umepungua

    Pengo si msemaji wa wakatoriki. Aache kuisemea Roman catholic
  12. ligendayika

    Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Hakuna wa kushindana Mungu ila muda utaamua. Kama kakobe anaimba kweli atapita kweli yake itasimama. Hata Trump na ujeuri wake wote hajawahi pingana na Kweli ya Mungu
  13. ligendayika

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Sasa katikati nchi hii watu hawatumii akili zao na zile walizozipata shuleni Bali wanatumia akili za kuambiwa. Hii inaua udadisi na ufukunyuzi
  14. ligendayika

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Mshahara wa mtumshi upo katika maktaba wake wa kazi utaajiriwa kama fulani ngazi ya mshahara ni utalipwa kiasi hiki cha mshahara na kila baada ya mwaka mmoja utapata nyongeza annual increment na baada ya miaka mitatu utapanda daraja. Kupandisha mshahara ni huruma ya kwanini hasa serikali iliyopo...
  15. ligendayika

    MwanaKJJ Ijumaa: Kuvuja kwa Pakacha na Tatizo la Pakacha la Jirani...

    Hakuna mtu mbaya katika siasa kama anakuongezea Kura. Toka upinzani uanze hakuna mgombea urais aliewahi kupata Kura kama za EL hayo ni mafanikio makubwa. Hata huyu nyarandu amini usiamini ataongeza Kura za CHADEMA. Tusidharau
  16. ligendayika

    Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

    Nimekuelewa Afande haya ni maneno yanayoumiza sana lakini ni ukweli mtupu
  17. ligendayika

    Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

    Mtu kama Zito na Lisu sio wakukurupuka kuwajibu unaweza.......
  18. ligendayika

    RC Makonda aipaisha Dar, matokeo ya darasa la saba

    Nambie mwaka gani daresalaam ilikua ya pili
Back
Top Bottom