Search results

  1. eddocreater

    Chuo cha Muhimbili toeni majina ya watu mnawahitaji kwenye interview acheni ubabaishaji

    Dah! Nishapishana na tarehe ya usaili. Vp usaili wa driver 2 uliendaje kwa waliofanikiwa kuattend!?
  2. eddocreater

    Natafuta kazi hasa ya udereva

    Pitia n.i.t ubusti hiyo leseni yako na upanue wigo wa fursa. Kwa daraja D ngumu sana!
  3. eddocreater

    Utekaji wa magari maeneo ya Mkata, Madereva wafunga barabara

    Suala la bastola au smg zote ni silaha kikubwa ni taiming yaani nani atamuwahi mwenzake kushoot na kwa target! Hata ukiwa kwa kisu unaweza waua wote wawili mwenye pistol na mwenye smg wewe tu na ujasiri wako!
  4. eddocreater

    Website inauzwa

    Niambie zaidi
  5. eddocreater

    Mgomo hatarini kuendelea Kampala Inter. University

    Mpaka jana bado walikua wamegoma! Sijui leo
  6. eddocreater

    Aliyemaliza Form 4 anawezaje kusoma degree moja kwa moja?

    Kwani sinilazima kama ukitokea form 4 upitie certificate thn diploma ndio akachukue degree!? Au sijaelewa mada!?
  7. eddocreater

    Made In Tanzania

    We sindie ulieanza kuuliza kwahyo!? Nakusikiza unachotaka!! Jielezee nikusikie!
  8. eddocreater

    Made In Tanzania

    Ushaanza maswala ya mipasho! Kwahyo watakaje!? Konda!?
  9. eddocreater

    Made In Tanzania

    Mimi ninamfahamu huyu!
  10. eddocreater

    Mamba mkubwa auwawa (Congo-DRC)

    Kauwawaje bila kua na majeraha yaonekanayo!? Sijaelewa bado!
  11. eddocreater

    Kiwanja kinauzwa bahari beach! Approx 5 hectors!

    Kiwanja kipo bahari beach meter 50 toka baharini na mt 50 toka barabara kuu ya kwenda ununio ukubwa ni approx 5 to 6 hectors na kina nyumba kubwa (mansion) katikati! Serious buyer tuwasiliane 0767430618! Picha zipo na ukihitaji kukiona physically ni poa! Price 950 Mill.
  12. eddocreater

    Graduate, diploma na cheti wanaenda JKT kwa mujibu wa sheria mwaka huu???

    Sasa kama form 6 wanaenda jkt kwa mujibu basi na graduate watupeleke jwtz tukiridhia/tukihitaji!!
  13. eddocreater

    Kuna mwenye taarifa kuhusu NHIF?

    Duh! Haya bwana, ila yote poa tu!!!
  14. eddocreater

    Kuna mwenye taarifa kuhusu NHIF?

    Wadau poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kufahamishwa kuhusu hawa jamaa zetu wa bima ya afya, coz since last time fufanye oral interview naona wamepotea mazima na hakuna public announcement yoyote ile kuhusu nini kinaendelea na tutarajie yapi na lini?
  15. eddocreater

    NHIF wametoa majina

    Yaani hawa jamaa sijui utakuaje na wanatakaje manake kama wametufunga kamba macho na misikio yote kwao!! Mie hadi browser ya simu yangu imekariri page yao!!!
  16. eddocreater

    Any update from NHIF?

    Aisee nhif ni shida!! Bado mkuu hakijasikika kitu!
  17. eddocreater

    Updates za NHC, COWASCO na SUMATRA

    Na bima ya afya vipi!?
Back
Top Bottom