Search results

  1. S

    Sijahesabiwa Bado na Deadline Inakaribia

    Pole sana, but we are in the same boat. Mimi na familia yangu pia hatujahesabiwa. Jana nilienda kwa mwenyekiti wa mtaa kutoa taarifa sikumkuta ila niliacha ujumbe but mpaka ninaondoka nyumbani leo saa mbili asubuhi hakuna aliyekuja. Kinachonishangaza ni kuwa baadhi ya majirani wamehesabiwa...
Back
Top Bottom