Search results

  1. G12

    Vacancies at TRA

    Nimejaribu kutafuta ile post ya Business Intelligence Analyst zilizotangazwa na TRA kule kwenye system yao haionekani. Yaani pale unapotaka ku submit application kuna sehemu unapochagua vacancy , hii post haitokei, posts nyingine zipo kama kawaida, sijui nini kimewapata hawa wakubwa wa fedha...
  2. G12

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Hiyo wizara wezi tuu, changa la macho hilo.
  3. G12

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Hapo tumepigwa changa la macho wameshaweka watu wao.
  4. G12

    Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

    Tuache kuwabeza wasomi wetu kwa kuangalia vitu visivyo na mashiko. 1. Wasomi wa Tanzania wapo vizuri sana katika taaluma zao, tatizo kubwa ni lugha ya malkia. 2. Makampuni mengi hapa TZ wapo watz kibao ambao ndiyo vinara wa operations kubwa katika makampuni hayo. Mfano kampuni za SIMU hapa TZ...
  5. G12

    Web Development Special Class

    Idea nzuri, nitafanya hii kazi.
  6. G12

    PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    kafiri mamako. mpelekee huu upuzi wako
  7. G12

    PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    5. Mkurugenzi wa Utumishi. Bi Chiku Matessa. Muislamu Shida ni hiyo namba 5
  8. G12

    PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    Naona wanahaha. Nimewaambia nitamwaga data hapa za mchakato wa ajira zilizotangazwa (deadline ya 15 Dec, 2014) wiki iliyopita. Vijana wenye sifa za kujaza position walizotangaza, wapo, na wame submit maombi tayari, tuwe na subira, mchakato ukianza nitaweka data hapa jamvini.
  9. G12

    I need a WEB API for sending Free SMS

    Ok, sisi tuli focus kuandaa application kwaajili ya matumizi ya kule Tanzania zaidi. Hapo unalipa about Tshs 45 per sms (NOT message), ikiwa message yako inazidi ukubwa wa sms watapiga hela zaidi. Sasa sisi kwa kuzingatia gharama na amount kubwa ya sms tunazotaka ku sambaza, tumeona vema...
  10. G12

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Hivi JK naye ni mkristu sikuhizi?
  11. G12

    I need a WEB API for sending Free SMS

    Yes, I know. Njia nyingine ni kupata access ya SMS Server/Gateway ya mobile operator katika nchi yako au nchi ambazo zina consumers wa application yako. Mobile operator anaweza kukupa hostname, account name na password then una route message zako moja kwa moja kwenda kwenyeSMS server ya...
  12. G12

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Tulia wewe, mwanamke gani mbishi mbishi hivyo. Nimesema nitamwaga data baada ya mchakato wa ajira zilizotangazwa wiki iliyopita kukamilika.
  13. G12

    I need a WEB API for sending Free SMS

    Nimecheki kuona jinsi gani tunawezapata hii service kule Tanzania kupitia Mobile Operator wa kule TZ, hadi sasa sijapata jibu. Wewe unatumia technology gani kwenye application yako ambayo unataka ku integrate na SMS service?
  14. G12

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Kuna kijana wetu ana sifa, ameshafanya application kwa kazi zilizotangazwa wiki iliyopita(deadline ya 15 Dec 2014) Tutaleta data hapa muda ukifika.
  15. G12

    Msaada: Kuagiza nguo online toka China kupitia Alibaba

    1. Kwa ndege 1kg ni 10USD, kwa meli 1 Cubic metre ni 400USD(ushuru included) 2. Huhitaji agency kwa method #1 niliyokupa (ofisi zao zipo tz unakwenda kuchukua tuu) 3.Kwa ndege unalipa Tshs 70,000 kwa kila 32kg, kwa meli hulipi tena ushuru 4.Faida na hasara inategemea biashara itakavyokuwa 5...
  16. G12

    Msaada Jinsi ya kupata antivirus

    Ni PM mkuu hiyo link
  17. G12

    Msaada: Jinsi ya ku validate number za Tanzania.

    OK. Asante sana. Kutokana na idea yako, tunahitaji SMS gateway. Nimecheki baadhi ya SMS gateways, nimeona twilio.com wana APIs na documentation nzuri. Pricing per SMS siyo kubwa sana except kwa Airtel users. Pamoja.
  18. G12

    Msaada: Jinsi ya ku validate number za Tanzania.

    Nimeuliza format ya valid Tanzania mobile phone number siyo technology. Pamoja.
  19. G12

    Msaada: Jinsi ya ku validate number za Tanzania.

    Mtu anaweza input 0715 99999 au 0784 999999. Assume namba hizi bado hazijaingizwa sokoni ingawa zipo ktk format sahihi, Je una idea yeyote ya kuchek if number ina exist?
Back
Top Bottom