Search results

  1. Mkazuzu

    Tabia ya kuenda kinyume na maumbile dunia imekwisha kabisa

    Hivi kuna tofauti gani kati ya anayenyonya dushe na anayepelekewa moto kwa mpalange
  2. Mkazuzu

    Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

    Siyo waarabu sasa,ancient egyptians were not arabs
  3. Mkazuzu

    SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha

    Miss Natafuta,bado hujapata tu mpaka leo😂😂😂
  4. Mkazuzu

    Ajali Lukumburu, Wahanga 36 Bus Shabiby, Ni Mnara

    Hii ajali ilitokea mei 16 2002,mwezi mmoja kabla ya ajali ya treni iliyoua wengi huko dodoma.na ni mwaka huo huo kivuko kiliua huko kilombero,ulikuwa ni mwaka wa ajali mbaya za mfululizo.hayati che nkapa aliingia na kumaliza utawala wake kwa ajali zenye vishindo
  5. Mkazuzu

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Hivi ile ajali ilitokea mwaka gani,maana kuna makaburi ya pamoja pale kwenye mlima
  6. Mkazuzu

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Siku nenda songea kupitia njia ya njombe halafu omba uoneshwe kona ya shabiby,ndo utajua kuwa hujui.ile ajali ilikuwa fatal,kuna makaburi ya pamoja pale pale,sikumbuki ni mwaka gani ilitokea ila imeacha alama ya kudumu
  7. Mkazuzu

    Serikali Sasa Irekebishe Ushuru Wa Magari

    Ushuru upunguzwe kwa ma landcruiser ford ranger na magari mengine ya juu.ila kwa hivi vi passo,ist na vibugs vingine uongezwe maradufu,wanaoendesha hivi vidubwana sijui huwa wanajionaje barabarani,wanaendesha wanavyojisikia wenyewe,mpo highway mtu anaendesha speed 30kmh!!mpaka mtu unaweza...
  8. Mkazuzu

    Ubalozi wa Jamaica nchini upo sehemu gani?

    Ubalozi wa jamaica upo kawe beach karibu na WAMA kuna mgahawa hapo wa kijamaica na huyo ni balozi wa kudumu,so huo mgahawa yeye ndo anauendesha na hapo ndipo ulipo ubalozi.utaona bendera yao ukifika hapo
  9. Mkazuzu

    Rafiki yangu alitaka Tufe, Dereva wa Lorry akakubaliana naye, Mungu akamtumia Dereva mwingine Kutuokoa

    Sema tu kuwa "sijaelewa",infact jamaa anazungumzia tukio moja la ajali ya lori lililotumbukia mto wami
  10. Mkazuzu

    Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

    BTU 12000 ni 1.25hp sawa na 0.95kw,hiyo ni cooling capacity ya AC,Tukiweka factor za efficiency tuseme input power kwa AC mpya inaweza kuwa 1.2kw,equivalent to 1.2 unit per hour.factor za ukubwa wa chumba zita determine AC iwake continously kwa muda gani.so kwa wastani AC ya ukubwa huo kwa siku...
  11. Mkazuzu

    Ubora wa Maji ya Kilimanjaro

    Kuna maji yanaitwa Sequa,yapo huko kaskazini,kilimanjaro yanasubiri
  12. Mkazuzu

    Mimea 6 yenye sifa za kipekee duniani

    Nyie watoto mlikuwa na viranga au balehe ya mapema,watoto wadogo wakwe mmewatoa wapi😀😀😀
  13. Mkazuzu

    Isidingo, it's black now

    Si alikuwa na ngwengwe au,niliacha kuifuatilia zamani sana,enzi za kina Skipp Bulher
  14. Mkazuzu

    Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

    Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.maana msimuliaji wetu maneno anayotumia kujibizana na watu humu ni mengi kuliko hata anayotumia kuandika vipande vya story yake😃😃😃
  15. Mkazuzu

    Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Walichokosea hawa jamaa walijirekodi wakaonesha na sura zao kabisa,pengine hawakujua madhara yake kisheria.next time mjifunze kurekodi sura ya mgoni akisokomezwa mkurungu😂😂😂
  16. Mkazuzu

    Mganga wa zahanati aliyedaiwa kubaka mwanafunzi jela miaka 30

    Kumbe walifanya mapenzi,nikajua kamvizia kichochoroni akamtia mitama akala mzigo.we need an appeal for this.
  17. Mkazuzu

    Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

    Ndo maana huwa nikipanda hizi charter nakuwa na mawazo sana,kitoto kama hiki kinipeleke usawa wa mawingu kikiwa solo😂😂😂😂
  18. Mkazuzu

    INAUZWA Jenereta kubwa linauzwa

    Jenereta kubwa aina ya Perkins KVA 27 linauzwa,lipo mikocheni B bima road,limefanya kazi masaa 2746. Kwa sasa linatumika kuendeshea container za cold room, lipo katika hali nzuri, engine haijaguswa, haitoi moshi. bei ni milioni 12 maongezi yanaruhusiwa. Contacts 0713258492 patrick, 0718141621
Back
Top Bottom