Search results

  1. new doctor

    Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Jaribu kutumia akili unapochangia kitu! Hizo drama kwanini zisiwe na Azam Tv? Umelogwa na Nani ww?
  2. new doctor

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    A2Z na Sunflag kwapamoja inauwezo wa kutoa wafanyakazi 3000
  3. new doctor

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Wafanyakazi wa AtoZ na Sunflag wamelazimishwa kwenda uwanjani.
  4. new doctor

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Kwa macho yangu nashuhudia watu watu wa pikipiki (toyo) (boda boda) hapa maeneo ya Ngulelo, Arusha wakipewa pesa, kiasi cha tsh 10,000/= tshirt na kofia za chama.
  5. new doctor

    Nitapata wapi laptop used nzuri na imara?

    Unapatikana ukanda upi wa Tanzania?
  6. new doctor

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    Mh! Are you serious mkuu? Are you really blank like this!?
  7. new doctor

    Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    Arusha kata ya Sokon II kuhakiki na kufanya marekebisho ya kitambulisho chako ni mpaka tarehe 17 mwezi wa nane.
  8. new doctor

    Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    I think *152*00# is more simple
  9. new doctor

    Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    *152*00# Waambie na wengine
  10. new doctor

    Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    Asanteni sana wakuu. Mmetusaidia wengi. Nami nimeisambaza taarifa hii kwa kadri niwezavyo. " Piga *152*00# kuhakiki jina lako katika daftari la kudumu la wapiga kura. Waambie watu wengi uwezavyo"
  11. new doctor

    INAKUKUMBUSHA WAPI HII ....Ni namna gani ah, ni jinsi gani tutawini

    Kanyinyistevoo umetisha Baba. Hahahahhaaaa
  12. new doctor

    Diwani wa CCM Arusha amehamia CHADEMA

    Yes it's true kaka. Nimepishana na gari ya chadema ikitangaza hilo
  13. new doctor

    INAKUKUMBUSHA WAPI HII ....Ni namna gani ah, ni jinsi gani tutawini

    Hatari hiyo aisee! Unayo audio yake?
  14. new doctor

    INAKUKUMBUSHA WAPI HII ....Ni namna gani ah, ni jinsi gani tutawini

    Mkuu hujamalizia vionjo vya mwisho mkuu! Duh! Long sana aisee
  15. new doctor

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Katika hotuba ya Mh. Mbowe leo tar 28 july 2015 wakati akimkaribisha Mh. Lowassa katika chama cha Chadema na Ukawa kwa ujumla ameutaja umati unaokuja katika chama hicho akiwemo mbunge wa Arumeru Magharibi Mh, Ole Medeye kama mmoja wa watu watakao kihama chama CCM na kujiunga na Chadema. Je...
  16. new doctor

    Kwa nilichokiona jana, kuoa kwangu baadae sana

    Hahahahhahaaaa! Na kwel jamii forum sio ya "wazizi"....
  17. new doctor

    Wana wa Arusha nisaidieni hili tafadhali

    Karibu Arusha! Huku no u-mamamama... Huku ni mwendo wa supu na kiroba. Unataka kukandwa umekuwa chapati ww?
Back
Top Bottom