Search results

  1. M

    Mbunge wetu wa Same Magharibi unavyotutendea sio sahihi wapiga kura wako

    Hapo umesema kweli kaka, huyu mbunge hewa kweli, aliahidi kuleta mshine ya photocopy Same sec alafu ndio kimoja mpaka sasa.
  2. M

    Mahakama ya Kisutu yamwachia huru mtuhumiwa wa mateso ya Dr. Ulimboka

    Yule chiz aliyekamatwa kanisa la Mwenge.
  3. M

    Kimenuka Tanga

    Udini utatufikisha wapi jamani.
  4. M

    DC Mbarali apigwa mawe, anusurika kifo!

    Wanajifanya Stephano mtumishi wa Mung.
  5. M

    Ukizoea chabo bana, inakuwa hivi.....

    Kweli hii kali chabo noma.
  6. M

    Nani zaidi Baca au Real Madrid

    Nadhani mechi nyingi za hawa wapinzani Real anapigwa. Au sikosawa wajameni
  7. M

    Jukwaa la katiba Tanzania na mdahalo wa katiba (live itv & radio one)

    Mungu akipenda nami nitakuwepo, asante kwa taarifa.
  8. M

    Jamani Wenyeji humu JF, Hodiiiiiiiiiiiiii.

    Nashuku sana kwakunipokea wandugu
  9. M

    Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

    Polisi ndiyo sisim unadhani watawapa wapizani ujiko.
  10. M

    Jamani Wenyeji humu JF, Hodiiiiiiiiiiiiii.

    Nawasalimuni sana wapendwa waungwa wanzangu. Nimekuwa mtu wakusoma juu juu tu hii JF, nikatamani sana nami niwe mndani wa page hii ya Jf. Naomba mnipokee ndugu zanguni.
  11. M

    Interview

    Hiyo nimeipenda ndugu.
Back
Top Bottom