Matikiti maji hayahitaji maji mengi saana na ukitaka kutumia njia ya umwagiliaji inahtaji uwe ba initial capital kubwa
Kwa eneo la heka tatu na ukitaka umwagilia kwa kutumia sprinkler method inayomwaga maji 6*6 m itakubid utumie jetgun (boom sprayer) ambayo inahtaj pump yenye uwezo mkubwa...
Sina hakika saana kama huyo ni mke wako wa ndoa na si rahisi kumshitaki mahakaman na kesi ikawa simple chakufanya mweleze mkeo kwanin ulifanya hvo na jitahidi kumshirikisha mkeo kwa kila kitu
"Ukiwa una uhakika mchana utakula asbh kiporo unaweza kumwaga" hii ndo ilowakuta wanafunzi baada ya kujia hela ya field ipo wakatumia iliyokuwepo
Japo nao wanamakosa lakini hebu turudi kwenye ukweli nchi haiwezi kukosa pesa lijue hilo make BUNGE LA KATIBA linaanza ndo utajua hela ipo au la.na...
Umesoma engineering ya wapi hiyo, leo ukimuuliza mtu wa MUHAS atakwambia sua kuna VET sasa engineer yupi ambaye hajui SUA kuna engineering. kwa taarifa yako ni kwamba ilianzishwa mwaka 1974.
Kama hujui kitu uliza ili uelimishwe, Tanzania nzima hakuna chuo chochote kinachotoa wahandisi kilimo isipokua SUA tu. We unayeshangaa may be upo form one make mtu akiwa form one mawazo yake yanaishia o level.
Hawa ndo wahandisi ambao kwa namna moja ama nyingine wanaumia sana kuona haki haitendeki kwa mnyonge, maamuzi ni kuonana na dvc asbuhii hii kama hana jibu cjui jitakacho endelea. where there is no vision people perish
Huyo head of departiment katoka wapi anayekwambia eti mwaka wa tatu wapo wa4 ni nan? may be hujui acha ni kwambie kuna kozi hata myu aliyesoma hkl anweza faulu eg AE111, dogo piga shule jmoc una paper ya kukupima uwezo wako sasa kuwa makini ni creditless na ni lazima uisome
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.