Search results

  1. X

    KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    MAANA YA COMPUTER KWA KISWAHILI FASAHA HUITWA KING`AMUZI AU JARIBU KUANGALIA KATIKA KAMUSI YA KISWAHILI 2004 UTAONA MAANA IYO MBALI NA WALE WANAOTUMIA "TARAKIRISHI " kama unavyofahamu lugha hukua mfano matwana hapo zamani kwa sasa ni gari/motokaa
  2. X

    Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

    MI NAONA NISAWA COZ UNAJUA KWA MWEZI NI KIASI GANI KUTUMIA INTERNET NA INATEGEMEA NA KAMPUNI YA SIMU WALIYOJIUNGA NAYO. labda katka matumizi hayo mengine na kama watakula ni kiasi kidogo sana
  3. X

    Sehemu Ya Siri Inakuwa Inawasha Sana Je Ni Ugonjwa Au ?

    Naomba Mnisaidie Ili Nimjibu Kama Ni Ugonjwa Aende Hospital
  4. X

    Sehemu Ya Siri Inakuwa Inawasha Sana Je Ni Ugonjwa Au ?

    Kuna Rafiki Yangu Mmoja Wa Kiume Amenieleze Kuwa Sehemu Ya Uume Wake Kwa Mbele Inakuwa Inawasha Sana Hivyo Ajajua Tatizo Kama Ni Ugonjwa Au Ni Nini?
  5. X

    Serena {bikini}

    Duuuu E Bwana Eee Huyo Inawezekana Ni Men Sio Demu Umemuona Hivyo Vijimbi
  6. X

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    pole kwa yaliyokukuta huyo mwanamke kwa kifupi hyakufai but kama anataka hivyo lazima kuna wenzake wanamshauri afanye hivyo Jaribu kukaa nae na umuulize hizo fedha anazozitaka sasa hivi umuongezee anafanyia nini? Na wewe pia jaribu kufuatilia au kufahamu kama kuna watu wameongezeka katika...
  7. X

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    pole kwa yaliyokukuta huyo mwanamke kwa kifupi hyakufai but kama anataka hivyo lazima kuna wenzake wanamshauri afanye hivyo Jaribu kukaa nae na umuulize hizo fedha anazozitaka sasa hivi umuongezee anafanyia nini? Na wewe pia jaribu kufuatilia au kufahamu kama kuna watu wameongezeka katika...
  8. X

    Jamani...eeh!!

    nimerkubali but kuna jamaa nimemuonesha akasema ingemtokea yeye sijui angejificha wapi?
  9. X

    Jamani...eeh!!

    eee bwana daaaah hiii nimekuba li hii ni noma acha itokee kwa wengine kwako usije kuomba itokeee
  10. X

    balali na wenzake wako wapi?

    Napenda kufahamu Gavana balali na mafisadi wenzake mnampango nao gani? mpaka sasa hivi sababu tunaona wahusika hawapo na viongozi mnakaa kimya au ile ilikuwa ni mikwala tunaomba mlifanyie kazi swala hili Nadani mnafahamu jiinsi tulivyooumia mpaka sasa au sababu fedha hizo zimeanza kurudishwa
  11. X

    Waabongo Tuache Ubishi Usio Na Maana!!!!!

    Kuna Baadi Ya Watu Utakuta Unamwambia Kuwa Usifanye Jambo Fulani Lakini Wanakuwa Wabishi Vibaya Sana Mfano Mzuri Ni Katka Internet, Mtu Anaweza Akakueleza Muda Wako Umeisha But Mtu Unae Mwambia Anabaki Anakushangaa Tuu Au Atakwambia Anmalizia Sasa Kasheshe Inakuja Usijaribu Kumruhusu...
  12. X

    Kwanini Vijana Na Wazee Wanapopata Fedha Baada Ya Kutaabika Wanaamua Kunywea Pombe?

    vijana naomba mbadili tabia kumbukeni maisha huwa sio rahisi kama mnavyofikiria wengine mnashindwa hata kusaida ndugu zenu na wsazazi wenu whhhyyyyy?
  13. X

    kwanini baadhi ya wafanya biashara za madini wasisaidie jamii

    utakuta baadhi ya wafanya biashara za madini wanawapatia vijana wetu fedha za kujikimu na kuishia kuwapa offer za pombe badaala ya kuwasaidia ili waweze kutimiza malengo Na wengine kufanya biashara zao bila hata kusaidia jamii utakuta mtu anafanya biashara katika kijiji flani lakini faida...
  14. X

    Kwanini Vijana Na Wazee Wanapopata Fedha Baada Ya Kutaabika Wanaamua Kunywea Pombe?

    Watu wengi sana hasa wachimba madini wananisikitisha sana kuona walikuwa wana taabika lakini baada ya muda baadhi yao huwa wanafanikiwa na inapofikia malengo yao huishia kunywa pombe, wengine kufanya uhuni hasa ngono ambayo ni zembe na kuishia kupata magonjwa ya ukimwi na wengine kuishiwa...
Back
Top Bottom