Search results

  1. Baraka F.K

    CAF African Beach Soccer Championship Qualifies 2015

    Timu ya Taifa ya Tanzania Beach Soccer imeichapa timu ya Taifa Kenya mabao 7-6 katika mchezo uliofanyika jioni ya leo Klabu ya Escape One Msasani Dar Es salaam. Kwa kuitoa Kenya sasa Tanzania itacheza na Misri kati ya Machi 7, 8 na kurudiana kati ya Machi 13,14, mshindi atakwenda moja moja...
  2. Baraka F.K

    Yupo wapi Prof. Ludigo?

    Profesa Ludigo ni miongoni mwa watayarishaji wazuri wa muziki wa Hip Hop na Bongo Fleva hapa nchini Tanzania, kazi nyingi nyingi za wasanii mwishoni mwa miaka ya 90 zilikua na mikono yake! Aliganya kazi na P-Funk Majani ndani ya Bongo Record na Master Jay katika studio za Mj Records. Asilimia...
  3. Baraka F.K

    Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

    Y Thang Vs Solo Thang
  4. Baraka F.K

    Wasanii 10 wa Bongo Flava waliowahi kubadili majina yao ya kisanii

    Y Thang alikuwa Kwanza Unit na sasa ni daktari, Solo Thang baada ya jamaa kwnda uk kusoma akaamua kutumia stylr yke dats y fid q akasema Y Thang ghafla akageuka Solo . Kwa hyo sio a.k.a bali ni watu wawili tofauti
  5. Baraka F.K

    Yanga Yamkana Stewart Hall

    Uongozi wa klabu ya Young Africans umekanusha taarufa zilizozagaa leo mchana kwamba wapo kwenye maongezi na aliyekua kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall aje kuifundisha timu ya Yanga. Taarifa hizo is za kweli ni propaganda za baadhi ya watu wanaotaka kuona Yanga inavurugika na kufanya vibaya...
  6. Baraka F.K

    Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

    Hongera Jamal Malinzi rais mpya wa TFF Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  7. Baraka F.K

    Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

    Baadhi ya kanda zilizohesabu hadi sasa ni Dsm - Kidau, Moro/ pwani - Kaburu, Tanga / Klmjaro - Khalid, Lindi / Mtwara - Kambi, Tabora/ Kigoma - Mgoyi, Mbeya / Iringa - Nyenzi, Njombe / Ruvuma - Mhagama, Rukwa / Katavi - Kiondo Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. Baraka F.K

    Jengo la TTCL Makao makuu Dar lawaka moto, wadhibitiwa

    Hauwezi kutuwekea picha tukaona hali ilivyo maana sisi wengine tupo na mji Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  9. Baraka F.K

    Wako wapi wadada hawa wenye vipaji vikubwa vya Muziki?

    Rahma, Radhia na Radhina Walianza kuimba Rahma & Radhia na kaka yao Ibra wakiwa pamoja na kundi la G'z Mobb lililokuwa na msanii Gerad Siri a.k.a G-Solo. Nyimbo yao kwanza kuitoa ni Tucheke na tucheze tufurahi 1996. Video yake ilifanyika CBE dodoma, Area C' eneo la wajenzi...
  10. Baraka F.K

    Yondani Mchezaji bora 2012/2013

    Mlinzi wa kati timu ya Yanga Kelvin Yondani ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mpira wa miguu nchini kwa msimu wa 2012/13 na kiasi cha pesa mil 5 katika sherehe iliyofanyika jana usiku katika hotel ya Double Tree. Kipre Tchetche ameibuka na tuzo ya mfungaji bora kwa msimu na kiasi cha mil 5...
  11. Baraka F.K

    Hongera sana cloud media group kwa kazi iliyotukuka!

    Millard alikua anatoa taarifa za uongo pasipo kushuhudia, kukaa kwake kote Joberg alibahatika kuonana na M 2da P mara moja tu, kisha baada ya hapo akawa anaulizia story kwa mwenyeji wke juu ya hali halisi ya M 2da P na matayarisho ya kusafirisha mwili wa marehemu Mangwair, kisha anasema...
  12. Baraka F.K

    Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

    Kwani Hujui kama mama yake mzazi Naomi Kaihula aliyekua lecture CBE, na mwalimu Tambaza ni mbuge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuipitia chama cha CHADEMA Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  13. Baraka F.K

    Kama Jay dee anajua kuiga, aige na hili basi!!

    Ama kweli wewe wakutumwa, Mwana FA angeanza kumkumbuka aliyemsaidia na kumfanya ajulikane kwenye sanaa ya music King Crazy GK, produce Bonny Lv, kifupi kama kutoa ni msaada ni matangazo FA ni mshamba,, Jide alitoa coaster ya Machozi Band ikabeba watu kwenda Morogoro kuzika na kuwarudisha na bado...
  14. Baraka F.K

    He!!eti 'M TO THE P'hajui kama Mangwea amefariki dunia!!!!!

    M 2da P ameimba nyimbo inaitwa Nikuite Nani ft Ngwair na Mac Vita Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  15. Baraka F.K

    Mkapa upo?Supervisor wa ujenzi U/Taifa anyongwa kwa ufisadi Tanzania!!!!!

    Acha propaganda! Mradi wa ujenzi wa uwanja wa Taifa wa mpya ulikua uambatane na kituo cha michezo mbali mbali, ambapo katika awamu ya kwanza ilikua ni ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu ambao umekamilika na awamu ya pili ilikua ni ujenzi wa viwanja vingine vya michezo kama indoor ya basketball...
  16. Baraka F.K

    nokia smartphone inauzwa bei nafuu sana.

    Mi nina elfu 50 kama upo tayari tufanye biashara Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  17. Baraka F.K

    nimemuelewa Ruge 100%

    Wanaomtetea Ruge wamezaliwa miaka ya 2000's na kuendelea, Jide alikuwepo kabla ya hata ya hiyo redio ya wafu, ameimba na kina marehemu Zomba (D-Rob), Fanani wa Hardblasters, Afro Reign kipindi hicho Radio One pekee ndo ilikua inabamba chini ya madj wa ukweli Rankeem Ramdhani, Mike Mhagama na...
  18. Baraka F.K

    Baada ya kusafishwa na PCCB kuwa hawakupokea RUSHWA, Unawashauri nini wachezaji hao?

    Haya ni mawazo ya mmoja wa wapenzi wa soka
Back
Top Bottom