Search results

  1. N

    Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

    Dar DSM sema Dar salaaam ya Sugu, Bongo Dar es slaam ya Prof Jay, Yo Mamsup waaa nipoze moyo mama nimechanganyikiwa penzi lako la maana...HBC, Mtoto wa Gate Kali ya Harouni
  2. N

    Mnaangalizia wapi JF jamani?

    kuna watu humu ni kama vile hawana kazi ingine zaidi ya jf hata kama ni kutafuta habari na ku anaanalyse i think it's abit too much
  3. N

    Kwanini watanzania wanamlaumu mwalimu Nyerere kwa kukosa elimu?

    wewe sasa ndo mwenye kasoro.. eti hata watoto wake wa kuwazaa wanajuta? nani kakwambia wanajuta na hawakwenda shule? msipende kusema vitu msivyo na uhakika navyo, au mpaka wawe kama kina richardmonduli ndo mtasema " unaona hao ndo watoto wa mwalimu wanashika madaraka kama baba yao, NO, that's...
  4. N

    Kwanini wanawake wanapenda kupewa fedha na wanaume?

    hebu badilisha sentensi yako iwe: kwanini wanaume wanapenda kuwapa wanawake hela? unajua wanaume wengi wa bongo wanadhani kwa kumpa mwanamke hela basi ndo uhakika wa pezi na wanapoonyesha hilo katika siku za mwanzo za mapenzi ndo wanawake wengine wanachukua nafasi ya kumtumia na kumuacha maana...
  5. N

    Mpiga debe wa Kichina stendi ya Ubungo

    jamani kama mtu anajua bei ya nauli ya mbeya ya hilo basi naomba maana natamani nijaribu kulipanda nione service zao
  6. N

    Harusi: Tarumbeta, honi na upambe wa magari umekuwa kero mijini

    jamani hizi harusi zinakera mno, hasa wenyeji wa arusha mtakubaliana na mimi, siku ya jumamosi kuna kua na foleni za hatari kisa harusi.. wanachukua barabara nzima, barabara zetu zenyewe finyu.. wengi wao ni kujionyesha tu, maana sio harusi tu mpaka ubarikio na vipaimara lazima wapite na...
  7. N

    Kumbe Michuzi Photopoint sio ya kwake!!!

    jamani kweli hizi thread zingine sio issue, yake si yake kweli haituhusu.. mi nakumbuka photopoint ilipoanzishwa na mara ya kwanza walishiriki kwenye maonyesho ya sabasaba michuzi ndo alikuwepo kuwapiga watu picha hapo uwanja wa sabasaba.. kwa maneno mengine ameshiriki kiasi kikubwa kuifikisha...
Back
Top Bottom