Search results

  1. nyraris25

    Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

    Inabidi tukiwa chimwaga tumjadili nape anaweza kuchukuwa nafasi ya sofia simba kwa usitadi mkubwa!
  2. nyraris25

    Mkuu wa wilaya Hai-Novatus Makunga kafanya alichoshindwa M/kit wa CCM Hai

    Hi ndio nyumbani paa m4c ngoja tuone wageni wakigomban mda simrefu tutawafukuza wote.mi niteremka kimashuku kwanza nikirudi lazima kieleweke
  3. nyraris25

    Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

    Kweli inabidi tukupeleke chimwaga karibu lumumba kesho nape anafaa
  4. nyraris25

    Kipindi kigumu jimboni Kawe

    Uwezo wa kufikiri na kupata ufumbuzi vinategemea na uwezo wa ubongo wa anaye fikiri! Huwezi kuruka mkojo uka kanyaga mavi ukajisifia! kuwa una macho mazima! Huwezi kuotesha bagi ukavuna mchicha! Pesa zilizo ibiwa kwenye migodi na mafisadi huzioni ma majaga ya kusafirisha wanyama hai kwa...
  5. nyraris25

    TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

    Tuzidi kuhesabu siku zimebaki siku chache kuwepo hewani nani alisha wahi ata marambili kutizama iyo inayo itwa TB 1 au Tb2 siutazidi kuuguwa
  6. nyraris25

    William Malecela na tuhuma dhidi ya CHADEMA, utoto wa CCM unaendelea...

    DAh AMNA HAJA YA MAHAKAMA Amelamba miaka 30 viboko 7 akiamka na anapo lala
  7. nyraris25

    SMS ya tigo kuhusu msichana

    Inaelekea umejaribu kupiga sana hujafanikiwa unataka tukufundishe!?:flypig:
  8. nyraris25

    "CHADEMA Wamechakachua Picha"!

    Siyo tapia ya m4c uchakachuaji ni tabia ya wenye magamba kuna asiye juwa hilo kipofu kiziwi wote wana juwa:evil:
  9. nyraris25

    Edward Lowassa on ITV!-Dakika 45 Part II!.

    Mh. lowasa nadhani wa tz wengi tunakujuwa mkuu kwa mamuzi nadhani ingekuwa wewe ni pinda au kwenye suala la jairo kila mtz angefurahia mamuzi yko cha msingi m4c ni waelewa sana! Amna mtz mwenye shaka na m4c ushauri wangu panda kwenye jukwaa na m4c ungama sina shaka wewe ni mjuzi wa kujieleza...
  10. nyraris25

    mambozzz

    Kila jambo na wakati wake
Back
Top Bottom