Search results

  1. K

    Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

    mkuu Gango nakuomba inbox
  2. K

    Jussa ajiuzulu Unaibu Katibu Mkuu (ZNZ) ili 'kusaidia Zanzibar kupata Uhuru Wake'

    Ismail Jussa Ladhu, the member of the Zanzibar House of Representatives for Stone Town, resigned from his post of deputy secretary general of the Civic United Front (CUF, opposition) on 5 October so he could take advantage of the separatist wave going through the Tanzanian islands...
  3. K

    Uchaguzi wa NEC Hanang': Sumaye abwagwa na mama Nagu

    Nimesikitika kwa mawili Sumaye kushindwa na mama Nagu anayesemekana amezaa naye mtoto wao wa mwisho Pili hapa kulikuwa na mkpno wa wazeee na hela imemwagwa kuhakikisha Sumaye hakatizi na tukiangalia kwa ubora in tterms of leadership Nagu haaingii kwa Sumaye hata robo lakini kwa chama kiki...
  4. K

    Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Bishara Ndogo...

    Wapi maulid kitenge!!! Deus Kibamba harold sungusia helen kijobisimba
  5. K

    Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    MALASUSA AKATAZA IBADA ZA KUSIFU NA KUABUDU Wakuu,naomba hii ipostiwe kama separate thread nimeshindwa post kwa masikitiko makubwa mkuu wa KKKT amekataza ibada za kusifu na kuabudu kuwa huo sio utaratibu wa KKKT na kanisa halitamvumilia mchungaji yoyote atakayekwenda kinyume na utaratibu...
  6. K

    Job opportunities.

    Barklays kufukuza wafanyakazi jamani hali si swari baklays wamepunguza wafanyakazi mia moja na staili ya kuwafukuza ni ajabu sana imetumwa email dakiuka kama kumi tu mkurugenzi wa kutawala mwambeleko na timu yake wakaanza kugawa barua za kuondoka na baada ya barua watu wanatolewa na polisi...
  7. K

    Jackson Mmbando-afisa uhusiano wa Tigo

    Mafuru kaula bana nasikia kakamata Ukurugenzi wa Masoko diageo aka Serengeti Brew
  8. K

    Jackson Mmbando-afisa uhusiano wa Tigo

    Mkuu Mafuru kala shavu babu kubwa Mkurugenzi wa masoko Diageo aka Serengeti Breweries Tbl kaazi mnayo.....
  9. K

    Nijulishen nursery nzuri kwa watoto miaka 2-3

    Mkuu nenda Goshen Bunju A pale shule ya Mpare mmoja anaitwa Mrutu its a good School na wana magari ya kubeba watoto ukifika Bunju kama watoka town ingia kushoto barabara ya vumbi you will get to the school
  10. K

    Simba Vs Ruvu JKT

    simba 2 jkt 1 safi simba juu
  11. K

    In Defence of H.E Dr Jakaya Mrisho Kikwete

    Slidingroof Sijaona ulichokiandika, wacha kusikia, wewe huna tofauti na Tambwe hiza au ni miongoni mwao mbona wamsemea mtu?? Je upadri umetoka wapi au nawewe ni mdini, mbona hukuanza na ushehe wa kikwete? U sem to be junior in analysing issues critically, bring pints and not useles...
  12. K

    Kuchukua mkopo bank

    taja tu bank gani mkuu manake nina mpango wa kwenda kukupa sasa hivi nisije angukia pua.
  13. K

    Shame upon you Chadema - Mhariri wa gazeti la serikali huyo

    chadema mnatusumbua sana polisi silaa ni noma yaani maisha yetu ni magumu sana tunafukuzwa kwenye nyumba kisa kupiga na kuwaua Arusha tusameheni jamani tulilazimishwa na serikali kuwaua ila sis wenyewe tunakubali chadema noma slaa toa tamko wananchi tumeomba smsamaha
  14. K

    Unajua kuingiza chanel za bure kwenye DSTV (chizicomputer)

    toa darasa yzuri how many chaneels are available
  15. K

    CHADEMA msiige Tembo

    kakojoe ulale ure huna dili wewe unaonekana umeolewa na makamba
  16. K

    Barua ya wazi kwa RPC Arusha

    kishongo go to hell na familia yako yote
  17. K

    TBC hali sio shwari

    mjinga huyu hawa ni miongoni mwa wadaku wanaoshusha hadhi ya jf
  18. K

    UDOM moto wawaka!!

    wapuuzi hao wakiandika waraka kujidai wanawatukana chadema, they cant think wise
  19. K

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    sasa Ccm imetoka wapi na kwanini hawa cuf waanze fujo! Toka wamehongwa umakamu zanzibar kwishney
  20. K

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    du Cuf ni wahuni mbona wameanzisha vurugu haki mbovu
Back
Top Bottom