Search results

  1. kipoma

    Nimeachana Rasmi na Flutter. Sasa ni ios/SwiftUI

    Napenda sana nyuzi za haya masuala maana nimeanza kujifunza taratibu, hivyo naomba unipe muongozo ili kufikia web developer au app developer ni vitu gani vya kuanza kujifunza kwa mtiririko mzuri. Asante
  2. kipoma

    Wataalamu wa Mobile App development, mkuje mnisaidie mwenzenu

    Tunaendelea kujifua ili kufikia developers wa uhakika
  3. kipoma

    Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

    Watumishi hawajaongezewa mishahara kwa sababu bandari kwa sasa haizalishi chochote, wasubiri uwekezaji ufanyike watapewa zaidi ya walichotakiwa kupata sasa. Asante
  4. kipoma

    Bei za Mpunga na Mahindi

    IRINGA - Ismani, gunia la mahindi 85000
  5. kipoma

    Tatizo lolote la PC/device

    PC yangu aina ya TOSHIBA Nikiiwasha inaleta maneno kama picha hapo na nikifuata maelekezo inaleta yaleyale maneno.
  6. kipoma

    Taja njia za kupunguza mfumko wa bei mpaka ufike zero

    Ni mm ni mchumi na nimesoma Marekani, lakini siruhusiwi kuweka utaalamu wangu hapa. Kwa mahitaji ya ushauri wa kitaalamu kuhusu uchumi njoo DM.
  7. kipoma

    Mwanza: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya maandalizi ya mkutano wa hadhara

    Wakamatwe tu, hao unaosema wanakagua utekelezaji wa ilani. Sasa hao wana ilani gani? Tumechoka kelele wakamatwe tu
  8. kipoma

    Usiufate Moyo sana hasa linapokuja swala la Biashara na Utafutaji

    Ushauri mzuri sana, hakika umelitendea haki jukwaa hili.
  9. kipoma

    Bachelor of business administration with education (b.Ba-ed)

    Habari wanajukwaa, napenda kuuliza Hivi nje na kuwa mwalimu kazi gani mtu anaweza ifanya kwa kusoma degree hiyo. Mchango wako wa mawazo ni muhimu sana [emoji120][emoji120]
  10. kipoma

    CHADEMA yampongeza Rais Samia kwa ongezeko la Mshahara

    Kumbe bado upumbavu wako haujaisha, tutakurejesha tena kwa mganga. Hakika!
  11. kipoma

    Ningeshauri punguzo la kodi ili vitu vishuke bei, kuliko kuongeza mshahara

    Wewe ni mjinga wa aina yake, mwacheni mtumishi kidogo afurahi.
  12. kipoma

    Rais Samia ana ajenda gani ya kimkakati?

    Wewe ni mpumbavu sana huoni kama nchi imefunguliwa.
  13. kipoma

    Gharama za maisha nchini ni himilivu

    Gharama za maisha katika nchi yetu ni himilivu sana ukilinganisha na mataifa makubwa kama Marekani, Ujerumani, Uingereza, Canada na Japan. Fanya tafiti katika mataifa hayo naamini utarudi hapa kukiri haya nisemayo. Sisi kwa hatua tunayokwenda nayo hatuwezi jilinganisha na mataifa yenye uchumi...
  14. kipoma

    Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

    CCM ni imara sana, wala hilo haliwasumbui kabisa.
  15. kipoma

    Hatuwezi zuia watu kumsema Hayati Magufuli

    Watu waseme tu viongozi wa aina hiyo wajifunze, nchi hiyo ni watanzania wote bila kujali dini wala kabila ila tulikokuwa tunakwenda taifa hili lilikuwa linakwenda kugawanyika sana. Acha tu MUNGU aitwe MUNGU.
Back
Top Bottom