Search results

  1. T

    Lake Nyasa dispute: Malawi to hire British lawyers

    Malawi now turns to British lawyers Send to a friend Saturday, 27 October 2012 09:45 By The Citizen Reporters Lilongwe/Dar es Salaam. Malawi is now banking on British legal expertise to ensure it wins the border row with Tanzania over the...
  2. T

    Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    anaweza akawa ma mluki wa malawi au atakua mzee wa masharubu kama sikosei tehe teheeee
  3. T

    Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    atakua ni mmalawi kaleta huu uzi hajui hata kuchora, wameshaona mambo yamekua magumu ,hivi kweli duniani kuna nchi gani mpaka upo pembezoni mwa ziwa? aisee ziwa hatuachii kabisaa
  4. T

    Mohammed Said: Waislam hawakuchoma makanisa. waliochoma ni wahuni

    dhambi ya kuchoma makanisa itawafuata na kuwatesa siku zote,hakuna haja ya kupaka asali uhalifu wakati uhalisia unaonekakana kwa hiyo wahuni wanavaa kanzu ?
  5. T

    Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

    hajui kusoma alama za nyakati huyu,yeye anacheka wakati watanzania wamenuna,du lipumba kazi ni kwako
  6. T

    Jumuiya ya Uhamsho na mihadhara Zanzibar Imefutwa

    safi sana wawadelete mpaka kwenye recycle bin, yaani dini + siasa = mvurugiko
  7. T

    Mbunge Malocha ahutubia Wananchi dhidi ya Mwekezaji; Wateketeza Matrekta ya shamba la Kanisa Efatha

    inabidi watu kubadilika.mashamba wameuza wenyewe then sasa ndo wanaamka usingizini serikali lazima iwajibike kumlinda huyu mwekezaji wa ndani kama inavyowalinda wawekezaji wa nje , Huu ni uonevu kabisaa wakamatwe waliohusika
  8. T

    Vodacom waboreshe zaidi katika hili...

    nakuunga mkono pia
  9. T

    MALAWI TODAY, Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

    Lake belongs to Malawi, UK letters reveal 22 September 2012 Nation As Malawi and Tanzania grapple...
  10. T

    Namba za Magari zafikia code ya T xxx CCM

    anachokisema sio chuki ni hali halisi ki ukweli tuchukulie wewe ni kijana unapikipiki T ... CCM unataka kuiuza alafu upo maeneo ambayo jamaa hawakubalikiki unategemea nini zaidi ya kuiuza kama spear na what if ni T... CDM Ipo sehemu ambayo nayo haikubaliki the same thing will happen mtoa mada...
  11. T

    Are you aware of Surestream Petroleum awarded exploration licences in Malawi?

    najivunia kuwa mtanzania and i thank God for being here in Tz ,wenzetu wanafikiri kuongea kiingereza ndo kuelimika,shida tupu zimewajaa,kweli njaa haigopi baunsa hiyo ndo kiboko yao,hatua waliofikia dharau imezidi serikali iende kulinda mpaka wetu katikati ya ziwa,waachane na mazungumzo hayana...
  12. T

    Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute

    Basis ya 1890 ni kulinda colonial interest,vizazi vyetu vilikuwepo kabla hata ya 1890 , 1890 it wasn't between tz and malawi. Tatizo baadhi wamalawi pamoja na baadhi ya wachangiaji ambao ni mamluki humu wapo so reactive ,hakuna nchi duniani mipaka ipo pembezoni mwa ziwa ,natambua ziwa nyasa la...
Back
Top Bottom