Search results

  1. M

    Kikwete analipanga jeshi kwa sababu ya mgogoro na Malawi; au majukumu ya Kimataifa pia?

    kwani walioko sasa hawawezi mkuongoza vita ama yahusianayo na kijeshi mpaka achague wengine? is that kind of strategic plan ?
  2. M

    Why Black Women Are So Attractive ( Kwa wanaume mnadhani wazungu ni wazuri)

    yes nice and big kissable lip, curved,onion butt and cooperation on bed that will make u coming again and again and never get enough. Kwa kweli sijutii kukosa maendeleo na kupewa access kwenye hii kitu ..kuliko ningepewa pesa barabara nzuri na kunyimwa kujua raha hii ...I will loose...
  3. M

    Wivu Umemuua!!

    hutakiwi kupiga mwanamke kwa namna yeyote ile...........
  4. M

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole na kuondokewa na umpendaye...na uwe na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu
  5. M

    jf chit chat taaaaamu!

    Kuna watu wamependa ushauri wako unaoutoa hapa ana attitude yako...naona wangine wanatamka hadharani hongera ..of course na mimi pia nimekukubali Smile:clap2::clap2: https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/clap2.gif
  6. M

    jf chit chat taaaaamu!

    Nilkirudi kwa mpole ushauri wangu ni kama wa weni hapa...wengi wameongea vema..tulizana ukiwa mapepe hakuna mtu atakaye weka kambi kwako watakutumia kama wanavyo kumia mkono kupiga nyeto.,,yah mkikutana ki mujini mujini mutaishi ki mujini mujini.Tulia utapata atakaye kupeta mpaka useme bora yule...
  7. M

    jf chit chat taaaaamu!

    Unajua hapa tunaonge kwa ku generalize statement yangu haiko valid kwa situation zote..ina wezekana kuwa kuachwa kwingine ni kwa kuonewa kama unavyodai.Ila mimi nataka kutoa hii kasumba kuwa wanao achwa "always"wanaonewa no and no ..not always iko hivyowako group kubwa tu wanaachwa kwa uzembe na...
  8. M

    jf chit chat taaaaamu!

    Makosa mengine si makosa at court of law ..au hata kwa jamii ..ila ki mapenzi ni makosa.Ukiona una tendwa ,unaachwa , n.k ujue kuna sehemu unakosea ..unatakiwa utafute na ujue wapi unakosea kutokana na ujuavyo mwezi wako find out what are the missing ingredients ...kuna fanana kuna kukosa kwa...
  9. M

    unataka utoke wkend na mpoleeee?

    Poa ...miji pishana..kila la kheri walioko Dar
  10. M

    unataka utoke wkend na mpoleeee?

    Nauliza tena Mpole uko mji gani au ..ndio drama kama wasemavyo?
  11. M

    unataka utoke wkend na mpoleeee?

    Yeah Uko mji gani ...Mpole? Miji iki tag basi itakuwa bomba
  12. M

    Mimi bado ni CUF – Hamad Rashid

    si alisema akifukuzwa aanzisha chama kipyaaaaaaa!!! mbona sasa ang'ang'aniaaaaaaaaaaaa au ndio posho za ubunge atishia kujamba wakati anaharishaa!!
  13. M

    Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

    kumbe ndio hawa walikuwa wakitajwa...Pengo anauza nini!!? Hawa viongozi msiwaamini wala nini kama wanaweza kuwa na mahawala wanashindwa nini kuuza!!??....aje aseme vizuri hapa ajatoa siri yeyote wanafiki wakubwa wanaosha kikombe nje huku ndani kimejaa kila aina na uchafu na unyanganyi..!!
  14. M

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Shoka Khamis anena hayo...
  15. M

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Toka Mwananchi : ziza Masoud na Talib Ussi, Zanzibar HATIMAYE Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed na wenzake watatu wamefukuzwa uanachama wa CUF kuanzia jana. Hatua hiyo ilichukuliwa na zaidi ya robo tatu ya wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika kikao chake kilichofanyika hapa...
  16. M

    Gari iliyobeba mwili wa Kim kumbe ni ya Kimarekani!!!!

    hata kama ni kweli .....unawezaje amini media ya chama pinzani ikitathmini habari ya chama kinacho kizana nacho..there is great chance of propaganda kuhusika,,and if your name is idiot is not by chance you are real idiot.
  17. M

    Gari iliyobeba mwili wa Kim kumbe ni ya Kimarekani!!!!

    Nilikuwa naamini unaweza sikia hii lugha vizuri kumbe inakupa tabu kidogo... kwa kuwa wanarudia rudia sikiliza tena
  18. M

    Natafuta mwanamke uk /usa

    kila la kheri kaka....
  19. M

    Hivi JK anaichukulia je hii cartoon?

    Mtu anashirikia kila msiba,kila sherehe ,kila ufunguzi wa majengo, chat na simu ovyo ashindwe kusoma katuni!!!!??
Back
Top Bottom