Search results

  1. Kitimoto

    Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    Andika chako!
  2. Kitimoto

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Siijawahi tumia. takuwa Chibuku Mkuu. Bado hiyo pombe ipo?
  3. Kitimoto

    Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

    Mwanza si rahisi sababu milima yao ni ya mawe labda watu wayachorenge hayo mawe
  4. Kitimoto

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Jibu lake si ilo hapo namba 1 Hivi pombe ya KIBUKU bado ipo?
  5. Kitimoto

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Siku ya Jumamosi kabla ya mechi yetu na Utopolo tunawakaribisha kunywa supu ya Kitimoto ,. Yule Nguruwe tuliyepewa zawadi tunatetemea atawasilishwa Msimbazi siku ya Jumamosi.
  6. Kitimoto

    Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Wengi wa watanzania ni wapigaji, matapeli na watu wasio na upendo. Miongoni mwao ni wenye nyumba za kupanga zenye wapangaji zaidi ya mmoja.
  7. Kitimoto

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    https://www.jamiiforums.com/threads/nini-maana-ya-kuoana.1904342/
  8. Kitimoto

    Bondia Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi aliyofunguliwa na Promota

    Kwahiyo huyo promota alitegemea kupata zaidi ya milioni 150 kwenye ilo pambano?
  9. Kitimoto

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Nashauri aolewe!
  10. Kitimoto

    Bondia Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi aliyofunguliwa na Promota

    Huyo Promot.a naona kama ni tapeli fulani!
  11. Kitimoto

    Amos Makalla: Sisi tunatatua kero Kisayansi, hatupigi kelele

    Ni mmoja wa viongozi wenye hekima na busara.
  12. Kitimoto

    Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

    Hatupeleki timu uwanjani!
  13. Kitimoto

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Ni majina kama majina mengine. Mfano kama SIMBA SC sasa hivi inaitwa Nguruwe SC ama Kitimoto SC
  14. Kitimoto

    Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

    Inatakiwa TAKUKURU waanze nao watoe ushirikiano, walishindwa wafunguliwe kesi.
  15. Kitimoto

    Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

    Kuna ubaya mjomba kumpigia simu mpwa wake!
Back
Top Bottom