Search results

  1. Urani

    Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

    Wamewasha sekunde mbili wakazima hapa Kimara. Tanesco msituunguzie vitu vyetu. Nchi yenyewe vyuma vimekaza.
  2. Urani

    Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Awe uli wasu, Seba ni jaji na mkae Monica ( one chamsikile) ni kaka wani. Unique, Jose ali mekisiko na omuyala waye Syl aliyo omjaluo aliga akamile.
  3. Urani

    Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Siga niseke( leka nseke). [emoji23][emoji23][emoji115]. Bhagambile wetu ( bhabwile wasu).
  4. Urani

    Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Mkuu Sebastian Machele! Aliyekuwa mwalimu. Kama ndo huyo basi alinifundisha shule ya msingi Gallu miaka hiyo. Daah! Humu nasoma mpaka nywele zinasisimka. Nyumbani kuzuri jamani!!
  5. Urani

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    R.I.P Dena na poleni wanajukwaa wenzangu.
  6. Urani

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Asante sana mkuu kwa hili. Kwa kuongezea tu tabia za wafanyakazi katika ofisi fulani zina akisi tabia ya kiongozi wa sehemu hiyo maana isingekuwa hivyo, sheria, taratibu na kanuni za utumishi ofisi husika zinaeleza bayana nini kifanyike kwa mtumishi asiyetimiza wajibu wake. Kiongozi kama yeye...
  7. Urani

    Noah for sale 6.8m, pungufu unaongea

    Hongera sana Mkuu maana chombo kiko vizuri. Naomba kufahamu kimetembea kilometa ngapi?. Asante.
  8. Urani

    Hii ndio Kigoma halisi, ukisikia nyingine ujue photocopy

    Mkuu mr.loner hukubahatika kuchukua migebuka?. Nitakwenda Kigoma kuchukua dagaa na migebuka mwezi ujao.
  9. Urani

    Maandamano kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

    Maelezo ya hawa Wazungu yana ukakasi na si kidogo. Wanasema walinunua mfupa ya twiga Afrika Kusini na kuambiwa hakuna shida kuingia nao nchi nyingine. Siku ya kuondoka Tanzania wakakamatwa nao na kushitakiwa kwa kosa la kuua twiga. Walilipa $ 62,000 za "fine", ada ya mahakama na kutoa rushwa...
  10. Urani

    Hii ndio Iringa halisi na watu wake

    Na mitaa hiyo kulikuwa na kitu kinaitwa Luxury, sijui kama bado kipo. Nilikuwa napiga mbili tatu nikitoka mihangaikoni. Hakika Iringa ina raha zake.
  11. Urani

    Watu weusi ni 'adui', asema Gavana Marekani

    Yaani wakati anaporomosha matusi hayo Rais wa nchi hiyo ana vinasaba vya weusi. Ama kweli kuna viumbe hawawezi kufikiria nje ya "box". Wao Marekani ndo mwanzo na mwisho. Kwa ubaguzi na chuki za viumbe kama hawa, tusitarajie dunia ikawa salama.
  12. Urani

    Wakimbizi wachoma moto kambi Ujerumani kisa hawakuamshwa mapema kula daku

    Daah! hiyo kali. Hakika ni ngumu kuwaelewa hawa viumbe aisee.
  13. Urani

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa anajuwa kiingereza?

    Kwa majibu haya sidhani kama mleta uzi atarudi humu mwaka huu. Aisee!!
  14. Urani

    TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Daaah! Sipati picha kwa kweli. Huyu Kangi Lugola aliwahi kuchimba mkwara bungeni na kutaka kuvaa kininja ili asiwaonee aibu watu, nikajua bonge la mzalendo kumbe mbwembwe tu. Hii ni aibu sana kwa wawakilishi wa wananchi kushitakiwa kwa makosa kama haya. Acha waisome namba sasa.
  15. Urani

    Wanajeshi 8 wa JWTZ watiwa mbaroni wakituhumiwa kumuua raia waliyedai kawaibia simu yao

    Hawa jamaa pamoja na nafuu wanayoipata kupitia kodi zetu bado wanafanya ukatili huu kwa watoto wasioweza kujitetea!!! Kweli mshahara wa punda ni mateke na hawa walinzi wetu wa nchi wamegeuka punda. Mungu baba wafanyie wepesi wafiwa.
  16. Urani

    Obama acheza densi ya tango Argentina

    Mkuu umeonaee!! Kwa mtindo huu kuumbuka kuko nje nje aisee.
  17. Urani

    Kesho naenda kukutana na Waziri,Kuna ulazima wa Kumuita Mheshimiwa napoongea naye?

    Umeonaee. Nami namshangaa anakwenda kuonana naye kwa lipi huyo Waziri. Nchi ngumu sana hii!!
  18. Urani

    Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

    Mkuu huenda alibadili gia angani maana huwezi kujua haya mambo.
Back
Top Bottom