Yaliyofanyika jana ndani ya bunge huku yakitazamwa na wanasheria maarufu kama Prof Kabudi yatazalisha aibu kubwa kwa Bunge letu. Ninaona tayari kuna kesi mbili zitakazokuja. Kesi ya kwanza ni Maalimu Seifu na kundi lake kupinga Mahakama ya Afrika ya Mashariki juu ya Uhalali wa Habibu Mnyaa, kesi...
[....... Magufuli is now the talking point across the globe and helping to brand Tanzania positively, making us Tanzanians feel proud once again.
.
Is Magufuli now the talking point across the globe for what ??? GOOD or BAD? To me he is a talking point for overstepping others and interfering...
Njia moja ambayo JPM ataitumia kuhakikisha ATCL inafanya biashara ni kupiga marufuku kwa wafanyakazi wa serikali wote kutumia usafiri wa ndege nyingine kama Precision, Fastjet au KQ pale ambapo ATCL ina operate.
Pasco nakuunga mkono kabisa. Badala ya watu kulalamika saana na serikali kuacha kufanya vitu vingine kila uchao ni sukari sukari tu. Sukari kwanza ina madhara mengi tu miilini mwetu kubwa ikiwa kusababisha maradhi ya moyo na pressure na ugonjwa wa kisukari. Kuadimika kwa sukari nafikiri ingekuwa...
Jamani hakuna Computer inaitwa EPICOR, bali kuna computer inayotumia mfumo au software ya EPICOR. So kilichoibiwa ni computer au ni software ya EPICOR???????
Kiwanda cha Azam cha tazara zamani ilikuwa ndio makao makuu ya NMC. Inasemekana Azam alipewa hapo kama compansation baada ya serekali kutakiwa kumlipa SSB kutokana na serikali kumwaga shehena zake za ngano na Michele kwa kisingizio Kuwa shehena hiyo ilikuwa na vyakula feki. Aliposhitaki...
Umejitahidi kuandika ila kuna uhalisia mmoja bado umeshindwa kuelewa. Kilichopo sasa sio Ukawa Vs CCM bali ni Citizen Movement of Regime change under the leadership of EL. Our main aim is to change the system. Haijalishi atakayeongoza hii movement ni mchafu kiasi gani, ni fisadi kiasi gani...
Kwa hali na Ari ilivyo kwa wananchi asimame yoyote upande wa Chadema achilia mbali EL na Slaa people will choose him/her. Tuna hitaji kuuondoa mfumo wote, then tutajuana mbele ya safari. Kama haitotokea mwaka huu this will require another 50 years kuwa na mazingira kama haya.
Jamani wana CCM mkoje??? Kwani hamkusikia siku Prof Lipumba alipotangaza nia ya kugombea Urais??? Kama ambavyo CCM hamjapata nani atakuwa mwakilishi wenu na ukawa wanachosubiri ni muda ufike wamtangaze Rasmi Prof Lipumba kuwa ndio mgombea wa Ukawa.
Kwa nilivyowasikiliza watangaza nia wote wa CCM ambaye naona anasema anachokielewa na yuko tayari kkukisimamia na historia inaonesha amefanya hivyo kwa muda mfupi aliokua kiongozi. Huyu si mwingine bali ni Prof MUHONGO
Kwa anayebisha kuhusu idadi ya wanafunzi wa PhD wanaomaliza kwa mwaka watafute vitabu vya graduation iliyopita ya 2014 wahesabu wenyewe kuliko kumshutumu Prof kitila.
Ukisema ACT wanakuja na sera ya UNYERERE una maana gani?? Je ni kufuata fikra na falsafa zote za NYERERE?? Kama ndio hivyo je ni kweli kuwa kila falsafa na fikra ya Nyerere ilikuwa na mantiki na tija kwa Taifa?? Moja ya falsafa yake ni ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA, Je ACT mnasemaje juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.