Search results

  1. S

    Nimekata tamaa

    Pole sana,umesoma nini na umefaulu kwa kiasi gani na uwezo wako ni upi?umefikiria kufanya kazi ingine zaidi ya ulichosomea?kama una imani umefanya maombi maalumu kupata kazi?unaweza kuendelea na degree ya plili kama una uwezo huku unaendelea kutafuta
  2. S

    Wanaume stress tupu!!

    Ni mwanammke lakini nilivyo na kinyaa hata kwa mwili wangu tu.du
  3. S

    Wanawake na kudai talaka . . . . . . .

    swali la kizushi Eiyer naona story zako nyingi ,nilikuwa kijiweni ,nilienda kumtembelea rafikinilimsindikiza hivi mwaume mwenye kazi serious anapata wapi huu muda?
  4. S

    Wanawake na kudai talaka . . . . . . .

    Absolutely!!!you have kick it man .yani hata me huwa nawapa kubwa ofisini kwa kuwaeleza ni bora me achelor nimetulia kuliko wao wana ndoa lakini wana mahawara kila kona.ukweli mostly wanaolewa/oa kwa presure za jamii
  5. S

    good girl....wife material

    hata wavulana wa jf sio kabisa kabisaa
  6. S

    Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

    nakuona hapo chini haya tuambie uhunzi wako tangu januari umetengeneza koleo sio "mwiko" ngapi?
  7. S

    Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    baba mbona mapovu yamekutoka na kashfa juu,hata unngesema lolote baya juu yangu kama silifanyi haliniumizi kichwa wala halitahalalisha mimi kuwa harlot ,nilimwacha and am no longer interested kwa kifupi mwache uchafu.kwani mnaposemaga wanawake kila kukicha humu mmelala nao wote?mgd understood.avoir
  8. S

    Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    tena kwa taarifa ni watu wamaana ambao ukimwangalia mara mbili unajiuliza is this true?barabarani?!hivi wapi wanatakiwa kukutana na kuanzisha uhusiano?
  9. S

    Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    we ndo unatakiwa kulazwa mwaisela eti hakuna mwanaume mkojo utamguj?!you are kidding guy.kwanza mmezoea kurudia chupi me nilimpiga jamaa chini kwa ajili ya mikojo nilishika chupi kunusa karibu nitabike hlf mtu anakwambiaa ushike mick mmezidi
  10. S

    Wanawake Wa Tanzania wanaoishi Botswana hawafai hata kidogo

    kama una izo mali kwa nini walikukataa?sizitaki mbichi hizi nani anataka shida
  11. S

    Kwa wadada na wamama tu

    sasa huo mkono wa mtotot utatamanije mnato?
  12. S

    Natafuta mchumba

    hujapata kote ulikopita
  13. S

    Looking for a woman

    Labda awe pagani manake nina uhakika dini zote zinaprohibit fornication
  14. S

    natafuta rafiki wa kike kwa kuwasiliana nae

    kanisani .msikitini ,kazini hujawaona au umechezewa sana
  15. S

    Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    ya kwetu sisi tunaovaa suruali zinaishia magotini si unajua kila muumini ana jini (kiti) wake?!
  16. S

    Tukio la kutisha limetokea Lamadi, aliyekufa aonekana akiwa hai...

    kweli kabisa nivea kwa wenyeji wa kanda ya ziwa mbona ni jambo la kawaida sana?sema mengi yanaishia humuhumu
  17. S

    Nikiangalia uso wa Tundu Lissu namsoma namna hii...

    Kweli halafu hana njaaa njaa naamini hata akiambiwa agombee urais hatajutia kuuukosa ubunge
  18. S

    Mwanaume akikupenda sana oh umemtilia madawa, mwanamke akipenda sana oh umepata mke

    hahhaha kweli pesa sabuni ya roho penye uzia penyeza rupia nyie wanaume anayetaka nimweke ndani awe kama Natalia na me niprovide kama mumewe ani pm
  19. S

    Mwenye sifa hizi anatafutwa.

    kwa avatar yako hakuna cha ajabu kwenye hili tangazo
Back
Top Bottom