Search results

  1. H

    Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Tundu lissu ni mtu ambaye anaweza kuwa ni kigeugeu,miaka ya nyuma alikuwa anapigania haya mambo tena ikafikia hatua akawa anatukana viongozi wa serikali,leo katokea kiongozi ambaye anaonessha dira ya kupigania taifa,badala ya kumuunga mkono hata kumshauri afanye nn,amekuwa wa kwanza...
  2. H

    PONDA apewe dhamana

    Wozawoza unavithibitisho gani kuwa ponda ni gaidi?unaelewa maana ya gaidi kwanza
  3. H

    Serikali na machinga...

    serikali ya tanzania inapotoa kauli huwa ni nguvu ya soda,mfano maeneo ya ubungo wafanyabiashara wadogowadogo wamerudi kufanya biashara maeneo ambayo yalikatazwa kufanyia biashara..
Back
Top Bottom